Whiskey tu kwa sisi ma barchelor. ............
Intelijensia yangu inaniambia umekuja kutung'oa kucha na meno.................... hata hivyo tupo makini
Uliona ee hadi kina Kaizer na Mzee wa Rula wakawa wanamcheka.....kuumbeee. Na kilichonishangaza zaidi ule upole aliokuwa nao.
Hizi mimba hiziii
alikuwa amepooza sana. Hata kula hakuweza jaman
Akawa anachambilia kwenye pilipili chachandu, limao na nyama kavu....
kachumbari kwa sanaaa akamwagia na pilipili