Arusha vs dar es salaam

Last edited by a moderator:
Niko poa mama.., mambo ni aje lakini..!? nimepangiwa lindo kwenye geti lenye vibaka wengi ndo maana nashindwa hata kuchitchatka shem... hope pasaka ilikuwa mwaaa...!!
itabidi nikaongea na mkuu wenu akupange jumla hapo maana imekusaidia sana kuepuka ban........
 
itabidi nikaongea na mkuu wenu akupange jumla hapo maana imekusaidia sana kuepuka ban........

We dogo acha kabisa, yaani hadi nimekuwa mtakatifu aisee..
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Madame B hebu mwambie huyo nitonye asifikiri ile perfume unayotumia ni shs mia tano au kile kiatu au mkoba wako ni pesa za madafu mwambie hapo ni mwendo wa dollar na Euro aise kama anajiweza ajitutumue akutumie hata Laki mbili ya kununulia vocha
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…