Godlisten shoo
Member
- May 21, 2012
- 36
- 9
Nchi inaongozwa kiendawazimu!
Hahaha mkuu wata li-censor na hili neno kama lile lenye 'r', hapa umeniacha hoi sana, maana ukiandika lile unapata stars sita ******.Dah! Sa huyu mtani wangu Mkwele anataka kumaanisha nini hapa......Watu wengine bana...
Aliingia kimya kimya,alikuja akageza dara af akaja tena siku hiyo hiyo km mwiziVipi Mkuu wangu Crashwise, mlimpopoa kwa mawe?! Manake hapa wana-Arusha walikuwa wanajigamba kwamba siku Kikwete akitia mguu Arusha lazima apigwe mawe...je, mlifanya hivyo?! Au jamaa alihunduria mkutano huo thru Video Conference?! Ni katika kutaka kufahamu tu mkuu wangu!!!
Aliingia kimya kimya,alikuja akageza dara af akaja tena siku hiyo hiyo km mwizi
Raia hatuna intelligence. Angejianika hadharan aone chamoto.Kwahiyo intelligence yenu ipo weak sio?!
Hapana, yeye si kama wewe ambaye ni hopeless headless citizen - Lol! ...poole.
Nadhani katika wapumbavu
Tanzania hii na wewe umo, huwezi ukatukana tusi baya kiasi hicho Rais wa
nchi.
Nyie CHADEMA mtabaki hivyo hivyo mpaka mwisho maana Ubaya hautoruhusiwa
kukanyaga patakatifu- Matusi yako ipo siku yatalipizwa, Take
care.
ni kweli maana mr maandamano now hana power amejitaid kukishawishi chama kifanye ziara ili apate posho kwa maana ana hali mbaya
Jamani pamoja na yote yaliyosemwa kwa hili tusipotoshe umma, nimesoma vyema hotuba yake ya leo na sijaona sehmu ambayo kikwete amebainsha aliyoyatoa mtoa mada. Tupingane lakini isifike wakati wa kuleta yale ambayo hayapo. Hebu someni hotuba yake kwanza ndiyo u-comment. sawa sisi ni wapinzani wake na chama chake cha magamba lakini isifikie hatua hii.