wagaba
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,106
- 605
Kwa hiyo lema alikuwa anavunja amani kwa mawazo yake?.
THE UNSEEN IS ILLUSTRATED BY THE SEEN.
Mkuu anaogopa Arusha kama Darfur. Mbona wakazi wa Ar hawana noma na mtu. wanaishi kwa amani tu. kazi ya ujenzi wa taifa inaendelea kama kawa kama dawa. Apeleke tu vikao huko, wenzetu waendelee kuvuna.