Seif al Islam
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 2,156
- 638
mbona palipochafuka hakusema
Kwa mjinga na mpumbavu kama wewe hakuna dawa!ni kweli maana mr maandamano now hana power amejitaid kukishawishi chama kifanye ziara ili apate posho kwa maana ana hali mbaya
This is one of too low Mr Kikwete have ever give to his people, This means Mr Lema was right for every second and every minute had given a statement. Ni ukweli usiopingika sasa kuwa kuvuliwa ubunge kwa Lema kulikuwa na mkono wa rais. Hili jambo litampandisha chati Lema kuliko rais alivyo fikiria.
Nashindwa kuamini kuwa Lema alikuwa hatari nanma hiyo kwa utawala wa Jk.
I stand with Lema...
anaogopa vitega uchumi vya Ridhiwani na Halfani kumegwa ,Mtu asiye nabusara kabisa Raisi gani asiyejua haki ya watu Polisi wauwe watu halafu yeye asichukue hatua anadhani hizo propaganda zitamsaidia au anawaagiza majaji wafanye atakavyo yeye yana mwisho kuna siku yatakuja kumpata mwanae pia hii dunia hakuiumba yeye
Ni wazi na kweli kuwa ikulu ilihusika na Hukumu ya Lema na hii Watanzania wengi tunaweza kuamini kauli hii ya Kikwete. Nina wasiwasi rufaa yake haitashughulikiwa haraka. Lakini ipo siku.
Jk kweli ana vituko vurugu za arusha chanzo ni yeye na ccm yake anafikiri tumesahau anachotakiwa kufanya ni kuwaomba msamaha watu wa arusha na Mheshimiwa Lema kwani siku zao kutawala Tz zina hesabika
Siyo mbaya kwani haki siku zote itasimama na Mungu atamfunguli njia zaidi ya hiyo na atang'aa zaidi
Amani iliyokuwa imepotea? Naomba kuelimishwa jamani, juu ya kauli hii.