Amani iliyokuwa imepotea? Naomba kuelimishwa jamani, juu ya kauli hii.
Hatimaye kauli ya Lema aliyosema kuwa kuvuliwa kwake ubunge ilikuwa ni planned process imedhihirika rasmi. Walk on the words of the so called president Kiwete you will realize it!. Kwa hiyo kiwete anataka tuamini kuwa Kamanda Lema alikuwa kikwazo cha amani na kuvuliwa kwake ubunge ndio kumeleta amani!!??
Nimeipenda the so called presidentHatimaye kauli ya Lema aliyosema kuwa kuvuliwa kwake ubunge ilikuwa ni planned process imedhihirika rasmi. Walk on the words of the so called president Kiwete you will realize it!. Kwa hiyo kiwete anataka tuamini kuwa Kamanda Lema alikuwa kikwazo cha amani na kuvuliwa kwake ubunge ndio kumeleta amani!!??
Mkuu nadhani anakumbushia polisi walivyovamia maandamano ya amani ya CDM na kufanikiwa kuua wanachama watatu.Pia vurugu walizokuwa wanamfanyia mbunge aliyeporwa ubunge Godbless Lema
Uzuri mmoja hotuba zake zote anaandikiwa, akili yake haihusiki na hayo aliyoyasema. Kauli yake ikiwa tata, sii utata kwake bali kwa wasaidizi wake. Ni kweli amani imeanza kurejea baada ya wauaji wa mwenyekiti wa Chadema kukamatwa. Ni matumaini yetu kuwa hata wale polisi walioa raia wasiokuwa na silaha watafikishwa kwenye vyombo vya sheria.
.
Too confusing! Kulikuwa na machafuko?