Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,980
- Thread starter
- #21
Hivi nyie mna shida gani lakini watu wa kanda hiyo? Mnaonaje mkiamua kuhamia Kenya kabisa? Kwanini mmejengeka kwenye ukabila uliopitiliza. Ni mambo gani ya mabaya so far mmefanyiwa na viongozi hata mkajihisi kutaka maridhiano? Na agenda yenu kwa Taifa ni nini?
Nilipinga ukabila enzi jirani YETU WA chato akikimboza maendeleo kule kwetu but I know for sure kwamba tunatakiwa kupapenda kwetu, tupaendeleze.
Wivu lazima upo ila unatufikisha wapi? Tuwatese Kwa sababu wanatuzidi? Tuwafilisi Kwa sababu tunahofia watatumia utajiri wao kuweka kiongoz madarakani ? No. Tushirikiane nao watupe ajira.....usimloge mwajiri maana akifa utakosa kazi