Arusha mpo!?

Arusha mpo!?

Kwani na USA kulikuwa na kimbuka? Mi nilisikia ni Marekani sikudhani kama na USARIVER kimefika dah bora kiishie kwa Ngulelo kisifike mjini maana kitatutoa roho

acha kunizingua bana!
 
Mungi kule ulikoenda jana si mvua ilikukuta huko huko na ukampigia wife kumwambia kuwa eti ofcn kwenu kuna kikao cha dharura utachelewa kurudi Erickb52 dah pale nilipokuacha jana kama hukuondoka na wale wadada watatu sijui maana walikuwa wanakuchuna wote Arushaone umepona majeraha ya jana kuanguka kwenye mtaro baada ya kufakamia ndyofu Filipo wewe ndo kabisa wala usiseme ulikuwa home kwako wakati umeamkia kwenye gari na nguo zile zile za jana na kumdanganya wife eti ulipata safari ya ghafla ya kwenda moshi kikazi Dena Amsi my wife asante sana jana ilikuwa mwake mbaya achana na Arushaone anakuyeyusha hapa
 
Last edited by a moderator:

Heheheheeeee sawa bhana unajua umezidisha majungu Mr Rocky
 
Mkuu naona umeamua kuwa kama Erickb52. Taratibu bana, ndoa yangu bado changa sana!
 
Last edited by a moderator:
kimya hakimaanishi umesema ukweli! Tumekuchunia tu! Btw, vipi mvua huko kwa mromboo!? Umepona!?

hahahahaha Filipo na wewe umeanza majungu eeehhh
Nitakureport abuse kwa Erickb52
huku nimepona bana ila imebidi nitembee na viatu pair tatu
 
Last edited by a moderator:
kaa mbali na huyo kijana! Sijui kama mvua haikumletea shida huko sinoni anakokaa!?

unafikiri ni sinoni anakaa yule jamaa
anakaa olmatejoo kabisa
namhurumia maana sijui hata kama nyumba yake imepona
 
maskini Erickb52! Kumbe anakaa Olmatejoo!? Huu msimu wa mvua ulioanza, kunasiku ataokotwa Oljoro!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom