Jaluo_Nyeupe
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 2,697
- 1,962
duhh!!!! Inauma sana.
Mpaka muda huu watu wanajiuliza maana hawapati picha, ni jinsi gani hawa watu waliuawa, tena kwa kunyongwa kwa kamba shingoni.
Ninachoamini ni kwamba kama vifo hivi havitokani na usalama wa taifa, wauaji watapatikana kutokana na kwamba marehemu wote wana macho. Macho yao yanaweza kutumika kugundua wauaji kama hawajavaa masks.
Lakini kama yametokana na kitengo cha usalama itakuwa ngumu kujua wauaji.
Lens ya macho zitatumika kuwajua wauaji, kwani sura zao huhifadhiwa na lens za macho
n,,,,,,no stone will remain unturned,,,is the matter of time,,,,tanzania taifa langu,,,,,ya nini laana hii,,,,,,,mauaji ya nguvu kazi ya taifa lako mwenyewe,,,,,,,,,,hivi ni kweli ama ninaota,,,,,,,,,,mungu wangu,uyaone machozi yangu unijibu hima,,,,,,vijana hawa nini wamekosa hadi iwapase kifo,,,,damu yao,,uhai wao,,kwa kumfurahisha nani,,,,mbinu gani ilitumika,,,mamlaka gani,,ilisimamia hata wasijitetee,,,,,,,ee mola ujuaye siri hii tufunulie,,tunusuru na taifa la utekaji nyara na mauaji,,,,,,naililia tanzania,,,,,,nawalilia vijana hawa,,,,,,lalen pema pepon,,,,,,burian,mmekufa mkiuhitaji uhai,,mkipingana na umasikini,,,,,,eeemen,,,,,,,
Mpaka muda huu watu wanajiuliza maana hawapati picha, ni jinsi gani hawa watu waliuawa, tena kwa kunyongwa kwa kamba shingoni.
Ninachoamini ni kwamba kama vifo hivi havitokani na usalama wa taifa, wauaji watapatikana kutokana na kwamba marehemu wote wana macho. Macho yao yanaweza kutumika kugundua wauaji kama hawajavaa masks.
Lakini kama yametokana na kitengo cha usalama itakuwa ngumu kujua wauaji.
Lens ya macho zitatumika kuwajua wauaji, kwani sura zao huhifadhiwa na lens za macho
Mkuu Mungi hiyo habari ya picha kuhifadhiwa kwenye Retina au Lens ya jicho la marehemu sio ya kweli. Tafadhali wakuu tusiwe na tabia ya kuelezea jambo usilolijua kwani inaweza kukushushia hadhi na heshima uliyonayo kwa jamii
Why are we so quick to judge? CCM inakamata vijana 4 tu na kuwanyonga? Let's be serious guys! Uchunguzi ufanyike, iangaliwe common motive ya kuwaua vijana hawa.
Pole wafiwa. Yesu alisema duniani mnayo dhiki (alitambua its aint easy), lakini jipeni moyo nimeushinda ulimwengu.
Haijahusishwa moja kwa moja kama suala la kisiasa, lakini CCM wanaweza kufanya hivyo kwa kutisha wengine
Mungi@, sipati jibu nini kinaendelea Arusha na mazingira ya vifo hivyo, kuna kitu nyuma yake. Lakini ukombozi wa kweli una gharama yake.
Vigumu kuamini kauli yako ukizingatia kwamba mauaji hayo yametokea wakati mmoja, ni dalili tosha ni kitu cha kupangwa. Hivyo ningeamini kauli uliyosema kama tukio ni moja au mawili, lakini kufikia idadi ya waendesha pikipiki watano kwa wakati mmoja ni jambo linaloibua maswali mengi.
Mimi naingiwa imani kubwa sana kuwa hawa wauwaji sio wengine zaidi ya usalama au police, sababu: 1. Hawa kuwa na majeraha mengi. (hii ina maanisha waliwekwa chini ya ulinzi fulan mkali wenye silaha na mikonon mwahawa watatu hawana kamba au minyororo basi ni waz walivishwa pingu)
2. Kitendo cha kunyongwa watu wa 5 kwa mkupuo na bila vpigo vya hapa na pale. (inaashiria utii wa agizo na malengo ktk mauaji tu na kutokua na jazba kama iwavyo kwa majambaz ktk utendaji wao, majambaz wanaua kuepuka vkwazo vya kupata wanachoitaji na kujiweka salama, mauaji kwao co dhamirio la dhati, kitendo cha watu watano kunyongwa kwa mkupuo ni ishara palikua na mkakati na uongoz ktk kuua.)
haya ni maoni yangu tu.
acheni hizo hawa jamaa ni majambazi sugu.wameua olasiti mtoto wa shule wakati wanaiba dukani kwao na wamefanya ujambazi sana kuanzia sombetini mpaka ngusero,hayo ndo malipo yao,tena waende motoni.hivyo jamani hayo sio mauaji ya kisiasa
Dah! Inatisha sana. Jamani binadamu hawana huruma wala woga wa mungu? Ktk amri za mungu,tunatakwa kutokuua,kulikoni hawa waliofanya hivi hawamjui mungu? Mungu izilaze roho za marehemu mahali pema peponi!