Arusha,Manyara na Kilimanjaro Mikoa yenye wanawake wazuri zaidi Tz

Sema huko kwenu hivyo unasifia vya nyumbani lakini ukiacha huo weupe kwa baadhi yao hawana uzuri wowote kuanzia mimeno iliyooza,viguu njiti,wakitembea kama wanarudi nyuma,kitandani kama umelala na gogo la mnazi yaani kama wangekuwa samaki basi ungewaita pandu ile misamaki iliyooza inapakwa chumvi nyingi na kuanikwa ili iliwe kwa kulumagia tu lakini si wa kupika mchuzi,Nawasilisha.
Duh kweli wewe halichachi
 
This is old school arguments.Most ya ulivyoeleza vina reflect tabia na sio uzuri.
Nothing is closer to the truth..

Northen ndio inaongoza kwa kua wanawake wazuri na ma handsome boys..

Umunavyo mamaake ndivyo mtoto alivyo...

Plain truth...
 
Nimetembelea na kuishi katika hii mikoa
Kwa kweli imejaliwa wanawake wengi warembo wazuri wa asili na weupe wa asili
Nimekaa Arusha almost 1 year nikichukua Postgraduate pale,nimejionea watoto wazuri ambao nimelinganisha na wa mikoa mingine ya Tz na kuona hakuna wa kuwazidi wa Arusha,Manyara na Kilimanjaro
*Wamburu
*Wachaga
*Waarusha
*Wamasai
*Wameru
Ni shida hawa watoto ni wazuri
Nlikamataga mtoto mmoja wa kimeru toka kule kwa mangushi jirani na Joshua Nasarri mtoto ni nzuri sana ila sikuoa nlichapa nkatembea
Ukipita Shivaz,Clock Tower au Matejo unakutana na Malaya wazuri wanauza nyapu

Mungu akipenda ntaenda kuoa Arusha au Manyara,wachaga siwataki wanapiga mahari ndefu sana.
Ukichanganya na kile kiswahili chao!
 
Unaumwa wewe sio bure
 
Unalinganishaje Tanzania nzima wakati sehemu zingine hujakaa. Umekaa kwa waangaza wale wa ngara wanaopakana na wanyarwanda? Umekutana na wamanyema wa kigoma, umeshuka Tabora ukakutana na wanyamwezi wanyaturu na wanyiramba singida uje umalizie na warangi wa kondoa
 
Mpe elimu
 
Back
Top Bottom