peoplespower54
Member
- Sep 13, 2011
- 27
- 2
Madiwani wa Chadema Arusha ni vema wakatumia busara. Kwanza nawashangaa sana kwa sababu kwa vyovyote walitakiwa kusoma katiba ya chama chao inasema nini kuhusu kusimamaishwa au kufukuzwa uanachama. Hawakutakia hata kusema neno "tunaenda mahakamani kukata rufaa". Unakataje rufaa wakati mwanamme aliyekuoa ameshakataa kukaa na wewe? Tena ndoa yenyewe ya masharti ya miaka 5 lakini iwapo utaenda kinyume na matakwa ya chama, chama chaweza kukuondoa.
Kwenda kwao NCCR nako ni tatizo na wakumbuke pia kwamba maisha hayawezi kuwa kama wanavyotaka wao na wasijaribu hata mara moja kuyumbishwa na maneno ya wanasiasa wa vyama vingine. Wao wanamsikiliza Mkuchika na Pinda atawasaidia nini? Pole yao.