Nipo Arusha hivi sasa kikazi lakini kwakuwa Jiji hili ni ngome ya makamanda wa CHADEMA sikusita kufanya kautafiti kangu kadogo na huu ndio UWELI.
Kwa mujibu wa Bwana Bayo ambaye alikuwa Diwani wa kata ya Elerai anasema mbali na kukata rufaa juu ya maamuzi ya mahakama yaliyotolewa hivi karibuni dhidi yao lakini madiwani wote waliotimuliwa na CHADEMA wanategemea kugombea tena kupitia chama cha NCCR-MAGEUZI. Na kwa mujibu wake huyo Bayo, mkakati madhubuti unaandaliwa kuhakikisha wanashinda uchaguzi huo.
Nimejiuliza maswali mengi, mojawapo ni hili, wataamuaje kugombea kwa tiketi ya NCCR wakati wanakata rufaa? Je rufaa yao ikikubaliwa na mahakama ikawapa haki ya kuendelea kuwa madiwani wa Chadema mpango wao wa kuhamia NCCR utayeyuka au washajua mbali na kukata rufaa lakini watachemsha tena?
Wazee wa kugoma....tuwape mkono wa buriani ktk kifo cha kisiasa!!
Mnataka kuwanyang'anya na haki zao za KIKATIBA na KIRAIA za NCHI hii? Acheni wagombee wanakotaka. Binafsi naichukia sana ile sheria iliyowavua UDIWANI kwani naamini kwa siasa za nchi hii anachaguliwa MTU sio CHAMA.
Wanatangatanga hao.
You are dead-wrong friend!Mnataka kuwanyang'anya na haki zao za KIKATIBA na KIRAIA za NCHI hii? Acheni wagombee wanakotaka. Binafsi naichukia sana ile sheria iliyowavua UDIWANI kwani naamini kwa siasa za nchi hii anachaguliwa MTU sio CHAMA.
huku ccm hatuwataki hawana nidhamu ccm inaongozwa na nidhamu bwana
Mh! Mbona wote walikuwa CHADEMA. Wote kwenda NCCR inakuwa nongwa. Adhabu mliowapa inatosha. Waacheni.Kama ni kweli "WOTE" wameamua kwenda NCCR basi hawa watu ni wagonjwa, na kuna mtu anawaendesha na kuwatumia kwa Maslahi machafu kisiasa. Hawa jamaa ni genge la wahuni, na waliingia CDM kwa bahati mbaya sana, na uzuri wameshitukiwa mapema!
Halafu weye jamaa unaingia jiji la watu bila hata kugonga mlango aisee!...acha hizo chalii yangu!...Ngarenaro vp wazima?Nipo Arusha hivi sasa kikazi lakini kwakuwa Jiji hili ni ngome ya makamanda wa CHADEMA sikusita kufanya kautafiti kangu kadogo na huu ndio UWELI.
Kwa mujibu wa Bwana Bayo ambaye alikuwa Diwani wa kata ya Elerai anasema mbali na kukata rufaa juu ya maamuzi ya mahakama yaliyotolewa hivi karibuni dhidi yao lakini madiwani wote waliotimuliwa na CHADEMA wanategemea kugombea tena kupitia chama cha NCCR-MAGEUZI. Na kwa mujibu wake huyo Bayo, mkakati madhubuti unaandaliwa kuhakikisha wanashinda uchaguzi huo.
Nimejiuliza maswali mengi, mojawapo ni hili, wataamuaje kugombea kwa tiketi ya NCCR wakati wanakata rufaa? Je rufaa yao ikikubaliwa na mahakama ikawapa haki ya kuendelea kuwa madiwani wa Chadema mpango wao wa kuhamia NCCR utayeyuka au washajua mbali na kukata rufaa lakini watachemsha tena?
Nidhamu ya nini kwenye SIASA? Unajua kwamba walichaguliwa na watu wengi tu wasio wanachama wa CHADEMA?You are dead-wrong friend!
Enzi hizo zishapita sana, na sasa tunaangalia chama...
Kama kusingekuwa na sheria hiyo unadhani nidhamu ndani ya chama ingekuwa ensured vipi?
Achana nao, wapumzike kwa amani!
hilo nalwameogopa kwenda ccm kwa sababu wangeambiwa wakabidhi wake zao kwanza kwa mwigullu nchemba ndiyo wapate nafasi ya kugombea kupitia chama cha magamba. Ccm nuksi.
Taasisi gani isiyohitaji nidhamu chini ya jua?Nidhamu ya nini kwenye SIASA? Unajua kwamba walichaguliwa na watu wengi tu wasio wanachama wa CHADEMA?
Waliihama CHADEMA kwa hiari yao? Malaya ni anayevunja ndoa au aliyevunjiwa?Ingekua kwenye mapenzi tungewaita malaya je kwenye siasa tuwaite nani?
Kwani nccr hawakuwa na wanachama kabla? Au taratibu za kugombea nafasi kwao zikoje? Mtu anateuliwa na chama baada ya mchujo au mtu anaweza kutoka hata ccm akaenda tume
akawaambia kwamba nimekuja kugombea kwa tiketi ya nccr wakamruhusu tu!