Mkuu,
That is a great mistake! Kura watagawana wao na ccm. Kura za cdm Arusha huwa hazigwanyiki. Ndio wanakirahisishia cdm kurudisha kata zao!
Nipo Arusha hivi sasa kikazi lakini kwakuwa Jiji hili ni ngome ya makamanda wa CHADEMA sikusita kufanya kautafiti kangu kadogo na huu ndio UWELI.
Kwa mujibu wa Bwana Bayo ambaye alikuwa Diwani wa kata ya Elerai anasema mbali na kukata rufaa juu ya maamuzi ya mahakama yaliyotolewa hivi karibuni dhidi yao lakini madiwani wote waliotimuliwa na CHADEMA wanategemea kugombea tena kupitia chama cha NCCR-MAGEUZI. Na kwa mujibu wake huyo Bayo, mkakati madhubuti unaandaliwa kuhakikisha wanashinda uchaguzi huo.
Nimejiuliza maswali mengi, mojawapo ni hili, wataamuaje kugombea kwa tiketi ya NCCR wakati wanakata rufaa? Je rufaa yao ikikubaliwa na mahakama ikawapa haki ya kuendelea kuwa madiwani wa Chadema mpango wao wa kuhamia NCCR utayeyuka au washajua mbali na kukata rufaa lakini watachemsha tena?
Good move, I suppor them 100%
Acheni ushabiki mpaka mnaonyesha na kitu mnachoongea hamjui unataja sheria bado sheria hiyohiyo inataka mtu kutoka katika chama wakati mwingine watu pia uchagua chama ukubaliane na mimi ukatae ndo hivoMnataka kuwanyang'anya na haki zao za KIKATIBA na KIRAIA za NCHI hii? Acheni wagombee wanakotaka. Binafsi naichukia sana ile sheria iliyowavua UDIWANI kwani naamini kwa siasa za nchi hii anachaguliwa MTU sio CHAMA.