DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 5,962
- 11,433
Dar es salamu inanuka ...mkuu wa mkoa wenyewe chenga usafi 0
Dar es salamu inanuka ...mkuu wa mkoa wenyewe chenga usafi 0
Na watajuaje kuwa wewe ni mfuatiliaji nyendo za watu humuWatajuaje nipo sekta nyeti atumie chombo gani cha habari
KabisaInabidi tuwe tunasikilizia kwa mwenyekiti wa mtaa labda au balozi
Seriously?Huelewi nini!!! Arusha ni Nchi ambayo tunajaribu kuibembeleza isijitenge.
SureInabidi tuwe tunasikilizia kwa mwenyekiti wa mtaa labda au Mabalozi wa nyumba 10... Walioko nje kwa Balozi Wa Nchi husika
Acha atangaze tuAkijua inabidi akatangaze
Inabidi tuwe tunasikilizia kwa mwenyekiti wa mtaa labda au Mabalozi wa nyumba 10... Walioko nje kwa Balozi Wa Nchi husika
!العلم! العلم! العلمWalau huo yaani ni "KABISA"
Inabidi tuwe tunasikilizia kwa mwenyekiti wa mtaa labda au Mabalozi wa nyumba 10... Walioko nje kwa Balozi Wa Nchi husika
Acha malalamikoArusha kufanya kongamano la kumpongeza Rais Samia kutimiza miaka minne ya uongozi.
View attachment 3279573
Hawa vijana wanaopita mitaana wakipigwa na jua hawatoshi kupongeza wameona wakakusanyane sehemu wapige hela vizuri!Arusha kufanya kongamano la kumpongeza Rais Samia kutimiza miaka minne ya uongozi.
View attachment 3279573
Nyamitako lile sambwanda lake lina mvuto sana.Bashite kwa kuvutia fursa kwake, yuko vizuri
Waja nyie ni wakorofi, kwanini lakini?Nyamitako lile sambwanda lake lina mvuto sana.
Hakuna ubunifu wala nini... Arusha ni kitovu cha upinzani Tanzania. Hivyo juhudi zote hizo ni kujaribu kuwavuruga wana ArushaMakonda ni kiongozi mbunifu sana
Kwani uongo si unaona mzigo ulivyotuliaWaja nyie ni wakorofi, kwanini lakini?
😂😂😂😂😂
Ila wee, 😂😂😂😂Kwani uongo si unaona mzigo ulivyotulia