cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,930
- 189,580
Una visa nae, sio buree, 😂😂😂😂Amejaaliwa neema za muumba wacha aringe 😉😉
Una visa nae, sio buree, 😂😂😂😂Amejaaliwa neema za muumba wacha aringe 😉😉
Huyu ni Mnyarwanda kabisaArusha kufanya kongamano la kumpongeza Rais Samia kutimiza miaka minne ya uongozi.
View attachment 3279573
Uwo msamiati utoshhe kubakia kwenye vità bu hakuna uchaguz huru na wa haki popote pale dunianiHiyo ni Ngome ya CHADEMA, na kama Uchaguzi utakuwa wa HURU na HAKI hilo Jimbo la Nabii Lema linarejea, hata kama CCM itachinja Ng'ombe milioni kumi na kugawa minofu ya RUSHWA bure kwa Wanachuga.
Germany juzi ulikuwa wapi au huwa hata huangalii TV?Uwo msamiati utoshhe kubakia kwenye vità bu hakuna uchaguz huru na wa haki popote pale duniani
Wangeweza kufanyia hata Katavi, lakini RC wa Arusha anaonekana ni sharp kwenye kutafuta connection na mahusiano na Wadau
Umesema kweli Mkuu, itakuwa ni mbinu ya kuwapoza Wamassai ili wawape kura chaguzi ujaoHakuna kitu. Wabajikomba kwa Wamasai baada ya kuuza maeneo yao kwa Wajomba na kujifanya wanawahamishia Tanga.
Wamasai wasidanganyike. Baada ya uchaguzi Msza atakuja kumalizia mchezo.
Mayor wa Arusha Yuko very smartArusha ina Mayor mwenye exposure kubwa na mjanja sana.
Kazi yake ni maskini? SijaelewaMayor wa Arusha Yuko very smart
Ndie alisababisha stadium ijengwe Arusha
Anaonekana mpole lakin kazi yake ni maskini mno
Nmeedit nlimaanisha makiniKazi yake ni maskini? Sijaelewa
Ni kweli. Meya yuko sawa sana.Nmeedit nlimaanisha makini
Makonda mtoto wa juzi, Arusha iko hivyo tangia zamani. Ni mji mzuri wa kijanja, hali ya hewa nzuri, mahoteli makubwa, facilities za kimataifa, umetulia. Tembelea na we uone.Wangeweza kufanyia hata Katavi, lakini RC wa Arusha anaonekana ni sharp kwenye kutafuta connection na mahusiano na Wadau
Nimekuwa nakuja Arusha mara nyingi kwaajili ya mapumziko na kurefreshMakonda mtoto wa juzi, Arusha iko hivyo tangia zamani. Ni mji mzuri wa kijanja, hali ya hewa nzuri, mahoteli makubwa, facilities za kimataifa, umetulia. Tembelea na we uone.