Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,367
- 10,396
Hivi hapo ni hivyohivyo sumu inauza au sumu inauzwa?sumu inauza 500
Hivi hapo ni hivyohivyo sumu inauza au sumu inauzwa?sumu inauza 500
Umekuwa makini kwenye Jamii ya kiswahili twende kihaya
Twende kifaransaUmekuwa makini kwenye Jamii ya kiswahili twende kizigua
Dar es salamu inanuka ...mkuu wa mkoa wenyewe chenga usafi 0
Umekuwa makini kwenye Jamii ya kiswahili twende kihehe
Umekuwa makini kwenye Jamii ya kiswahili twende spain vip
Umekuwa makini kwenye Jamii ya kiswahili twende kiarabu
Umekuwa makini kwenye Jamii ya kiswahili twende Kiwanji
Twende kimakondeUmekuwa makini kwenye Jamii ya kiswahili twende Kibena
Subiri barabara ipite ili gari livuke watuKunja ngumi kwani wewe chadema!? Piga Brain tutangulie mbele za haki...
Kumbe kwa wengine mnaenjoy heeeeeee
Bora kihaaa
Nashukuru Kwa Marekebisho Yenye UsahihiView attachment 3279635
Ni Geneva of africa
Au akubali ili abaki salamaAbishe au akaidi ili agongwe na gari🔜🔛🔙🔝
Au huduma ya TANESCO wakati hajuiIli asipate huduma ya TABOA wakati kaelewa
Ubunifu gani kuchoma nyama,na kuleta walevi wa malandroverMakonda ni kiongozi mbunifu sana
Au huduma ya mahakama wakati kajuaIli asipate huduma ya Polisi wakati kaelewa
Ndio wakati wake kung’ara
Au itakuwa alifanya ila alifeliWakati hajafanya mtihani wa barabarani alete cheti na maksi kama anaelewa
KabisaPamoja na kila mtu anatakiwa kuelewa kuwa anaelewa
Na ashitakiweLabda agongwe na train🔜🔙🔛🔝
Asifiche aweke waziWote wajue kuwa kaferi