Arusha: Kijana wa CHADEMA mbaroni kwa kutaka kuvuruga mkutano wa Dkt. Magufuli kwa kupigisha shoti vyombo vya umeme

Furaha yangu ni kwamba kwa hiyo akili ndogo uliyonayo ni kwamba utaweza kwenda kuweka alama ya Tiki kweny kumpa Kura Lissu. Amka Mtanzania usiendlee kuwa Mbumbumbu kwa Miaka 60 toka Uhuru.
Ni heri kuwa na wajinga milioni kuliko kuwa na mpumbavu mmoja kama wewe kwenye nchi. Halafu ulivyojawa na ushamba na kukosa utu maisha yako yataishia kwenye huo utopolo unaokoroga hapo.
Huna hoja, huna maadili, huna mvuto, huna utu, upoupo tuu sababu Mungu anagawa pumzi yake bure

Nimekupuuza rasmi sababu upumbavu wako ni kama ulemavu wa ufahamu usiokua na tiba
 
Mjinga mmoja ww.... Akili zako zilipo zikae hukohuko siyo lazima uwaambukize na wengine !


Kwa taarifa yako tuu ni kwamba Tarehe 28 waTanzania wenye Akili Timamu wote wataenda Kuchagua kiongozi atakayetupatia UHURU HAKI NA MAENDELEO YA WATU.

Na Si mwingine ni TUNDU A. LISSU
Sasa simsubiri hiyo tarehe 28 mkafanye maamuzi,mambo ya kupigisha shoti umeme ulipuke muuwe watu inahusiana vipi?
 
Vijana wa CHADEMA siasa zao zinakuwa kama za beberu linataka kupanda jike,matokeo yake wanaambukia kufia jela kwa upuuzi na maamuzi ya jamaa wa ubeligiji
Huyo kijana wa Chadema asiye na jina wala picha, aliwezaje kuvifikia vyombo vya mkutano wa raisi na kutengeneza shoti?
 
Kuna time nilikuwa nilipwe million 300, nijitoe mhanga kwenye mkutano wa mtu fulani hapa hapa chuga, nikasema hapana siwezi hayo makitu. Nahitaji kuishi
What was the terms of payment? Yaani benki uingiziwe mil. 300 na turn over yako kwa mwezi Ni 1mil? Kudadadeki utaozea jela kwa kutaka kutakatisha fedha
 
Kijana mmoja hapa Arusha anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kupiga short vyombo kwenye mkutano wa mgombea urais CCM.
Mna uhakika ni wa chadema? Je kama ni kiki imetengenezwa na ccm kuichafua chadema, hii dunia kilakitu kinawezekana ndo maana wanasema usimuamini mtu yeyote hata kivuli chako pia
 
CCM, muache upotoshaji na uchafuzi, uchafuzi mwingine sio tu kwamba unaichafua CHADEMA, Bali pia unatudhalilisha nje ya mipaka yetu kwamba ulinzi wa Raisi ni wa hovyo kiasi kwamba intruder anaweza kupanda jukwaani ambapo atahutubia Raisi na kuharibu vyombo vya matangazo.

Kitendo Cha kusema kijana wa CHADEMA huku hamumtaji jina wala kuonyesha picha yake Ni kielelezo tosha kwamba ni uzushi na uwongo.

Kuharibika kwa vyombo vya mfumo wa sauti Ni Jambo la kawaida kabisa, hata makanisani vyombo hupiga shoti.

Iweje vyombo vya matangazo ya mkutano wa MAGUFULI vikipiga shoti wasingiziwe CHADEMA? Mbaya zaidi mmeshindwa kuweka bayana jina na picha la kijana huyo?
 
Mjinga mmoja ww.... Akili zako zilipo zikae hukohuko siyo lazima uwaambukize na wengine !


Kwa taarifa yako tuu ni kwamba Tarehe 28 waTanzania wenye Akili Timamu wote wataenda Kuchagua kiongozi atakayetupatia UHURU HAKI NA MAENDELEO YA WATU.

Na Si mwingine ni TUNDU A. LISSU
We ni Zombi
 
Furaha yangu ni kwamba kwa hiyo akili ndogo uliyonayo ni kwamba utaweza kwenda kuweka alama ya Tiki kweny kumpa Kura Lissu. Amka Mtanzania usiendlee kuwa Mbumbumbu kwa Miaka 60 toka Uhuru.
We ni bongo zero
 
Huwa naangalia drama na series sio kujifurahisha tu bali kujifunza mambo mengi mengi kama siasa na mambo mengine ya maisha, figisu kipindi kama hiki ni lazima zitokee kwa kweli
 
Back
Top Bottom