Arusha: Kijana wa CHADEMA mbaroni kwa kutaka kuvuruga mkutano wa Dkt. Magufuli kwa kupigisha shoti vyombo vya umeme

Sasa alitaka kutengeneza shot ili nini kitokee? Yaani CHADEMA, ACT na hao waumini wao wangeshika dola hii nchi ingegeuka uwanja wa vita. Sijui wanakuaga na akili gani hawa watu. Kuna wengine wanajinasibu hapa jf kwamba tayari wameandaa vidumu vya petrol. Ila ndio hivyo tena Mungu kutuletea mkombozi mzalendo John Pombe Magufuli

Mungu tunusuru watanzania na vyama vya wasaliti, wahujumu na vibaraka. Mungu ibariki Tanzania

Cc YEHODAYA
Labda Mungu msagaji na sio nayemjua mimi.
 
Back
Top Bottom