Arusha kama mji wetu mkuu wa kitalii una Hoteli yoyote inayomilikiwa na brand kubwa?

Zipo sana tu. Hujataka kujishughulisha na Google. Actually ndio inaongoza kwa Tanzania.
eti, ni hoteli gani Arusha inamilikiwa na franchise kubwa ya hoteli? brands kama Serena, Sheraton, Kempinski, Hyatt nk, ipo?
 
Back
Top Bottom