Mkuu humu ndani kuna thread nyingi sana zinazoipondea arusha...huwa simuoni huyu jamaa akienda kuwapinga sababu huo ndio ubaguzi...thread za watu kusifia mikoa yao zipo tele...zipo za mwanza...kuna thread ya tanga inayosema tanga ndio mkoa uliokamilika...jamaa sikumuona ila ikianzishwa thread yyte ya arusha lazima atasema ni ubaguzi hoja za msingi hana zaidi ya kutumia lugha chafu.unashangaza sana yaani kumbe ni nyuzi nyingine sasa mbona kichaa umekileta hapa
Kuwa mstaarabu kwa nyuzi ya kistaarabu kama hii
Hapa hatuzungumzizi ukanda ila tunaipambanua Arusha ilivyo sawa kijana hatubagui watu hapa na hii ndiyo Arusha ya kistaarabu na sio kama unavyofikiria!!!!!
unashangaza sana yaani kumbe ni nyuzi nyingine sasa mbona kichaa umekileta hapa
Kuwa mstaarabu kwa nyuzi ya kistaarabu kama hii
Hapa hatuzungumzizi ukanda ila tunaipambanua Arusha ilivyo sawa kijana hatubagui watu hapa na hii ndiyo Arusha ya kistaarabu na sio kama unavyofikiria!!!!!
Hizo hotel na campsite hamjui hata gharama za kujenga au angalau kwenda kutembelea mnaziona kwenye picha tu huko arusha mnaanza kuleta ushabiki wa kitoto kama manyumbu kule mbugani arusha.Arusha Park... The beauty of Arusha..
![]()
Ukweli ni kwamba Arusha ikoo juu sana hata dunia inajua hiloMkuu humu ndani kuna thread nyingi sana zinazoipondea arusha...huwa simuoni huyu jamaa akienda kuwapinga sababu huo ndio ubaguzi...thread za watu kusifia mikoa yao zipo tele...zipo za mwanza...kuna thread ya tanga inayosema tanga ndio mkoa uliokamilika...jamaa sikumuona ila ikianzishwa thread yyte ya arusha lazima atasema ni ubaguzi hoja za msingi hana zaidi ya kutumia lugha chafu.
Wewe unatumia data zipi?Wakati juzi bungeni walitaja mikoa mitano yenye kipato cha juu ni Dar,Arusha,Kilimanjaro, Manyara na Pwani.Mind you mikoa mitatu hapo imetoka kaskazini...Kitu cha kweli nachojua mimi swala la kipato kingi taifa linavuna ni Dar na Mwanza ikifuatiwa na Mbeya,hiyo ni tosha kuonyesha Arusha imekalia wapi na siyo misifa tu bila la maana,all in all hii ni Tanzania yetu sote,ila mkileta ubaguzi nakuapieni Arusha hamuifati Mwanza,maana hilo ndo hua linawaumiza,sema hamuwezi kuamini kwa sababu jamii ya Mwanza ni ya kistaarabu haina majivuno,kuleta maneno ya kusifia majengo,mala keepleft ndani ya mji kama napoona hapo juu ndugu mmoja kapiga picha na kupost hapa ni utoto tu au kutokuelewa maana maeneo yenu hayo tunayajua na muonekano wa picha siku zote utaona kama kitu kinatisha kumbe ni bla bla.fanyeni mkoa uwe na kipato kizuri kitaifa ndo mjisifie
Ungekuwa ni miji ya washamba mngeipigia Kura kwenye maajabu ya dunia?Huo ndio ukweli, vijana wa arusha kama mashoga hamjiamini kabisa.
Kila siku mnaupamba huo mji kama mnataka uchumbiwe.
Watakuja wadau kutoa mali kwa binti zenu nafikiri ndio mnachotaka
at the end you will kneel down there mkuu. HUKUNA NAMNA A town baby
Na wewe ni kishoia tuu unaacha kufundisha hao watoto madrasa unajibizana usichojibizana kikaeleweka
Arusha at It's best.. Kama una chuki katafute dawa..
![]()
Arushaaaaa.... Tunapenda Jiji letu, wakora mlie tu hahahaha
![]()
Mkuu humu ndani kuna thread nyingi sana zinazoipondea arusha...huwa simuoni huyu jamaa akienda kuwapinga sababu huo ndio ubaguzi...thread za watu kusifia mikoa yao zipo tele...zipo za mwanza...kuna thread ya tanga inayosema tanga ndio mkoa uliokamilika...jamaa sikumuona ila ikianzishwa thread yyte ya arusha lazima atasema ni ubaguzi hoja za msingi hana zaidi ya kutumia lugha chafu.
Onsea House... Kama una party ya watu chini ya kumi, this is the place to be.. Hawaamini kwenye uwingi, wanaamini kwenye quality... Wanasiasa wenu wengi tu wanatoka huko Dar wakishawaibia kuja hapa kupumzika na familia au vimada vyao..
![]()
Arusha ndio ulaya ya Tanzania...#Geneva of Africa#Half London#Centre ya Africa nzima(Johberg to Cairo)...I love u Arusha my home town.Mji wa watu wagumu...watu real...hakuna wanafiki wala waoga!
Umeishia kutukana tu na kutoa kashfa lakini hakuna fact hata moja umetoa...hii inaonyesha chuki ya wazi isiyo na sababu za msingi.Pole
Hamjitambui ninyi, nendeni mkaelimishe jamii zenu huko maporini arusha.hongera Aruchaga, you deserve it. arusha hakuna uyaniyani kama kwetu chalinze, moro,tanga etc. mambo yote arusha. wanajua kujibidisha ktk kazi na kutafuta maisha
Nishajenga hoja ila hamuelewi sasa ni mda wa fimbo tu nyie misukule na meno yenu yaliyooza.
Na wazungu wasingekuja huko arusha kungekuwa ndio sehem primitive kuliko zote tanzania kama masai wanavyoishi kule loliondo, wahdzabe kule karatu wanakeketana hadi leo huko arusha halafu mnatuletea hadithi za kitoto baada ya kuvimbiwa mabanana ya mia nne hapo arusha
USA River Satellite City mambo yatakuwa hivi.. Je, kule kwenu Iyunga, Uyole kukoje?? Lazima mnune hahahahahahahaHamjitambui ninyi, nendeni mkaelimishe jamii zenu huko maporini arusha.
Au mnafikiri arusha ni hapo mjini pekeyake ambapo ni 5 km, na kwa miguu tu umepamaliza
Huwezi kuja Arusha ukiwa mlaini mzee kama wewe ni mikono soft usijichanganye kule. Kwanza kupanga geto likamilike kidogo yaani kiaina ama kama linataka kutokelezea kukamilika kuitwa geto/rough la msela pale andaa 2ml. Vinginevyo chugga kusikie ile ndo Luanda ya TzHamna lolote ninyi, mda mwingine watu wanaogopa hadi kuja arusha wanafikiri ni misukule inatembea mjini kwa jinsi mlivyooza meno.
Badilikeni ninyi washamba huo ukanda na ukabila utakuja kuwamaliza na ndio mana hamuachi tembea na masime viunoni
Teh teh wakiona hivi wanakasirika sanaArusha Park... The beauty of Arusha..
![]()