Arusha halisi ilivyo na watu wake

Arusha halisi ilivyo na watu wake

Another true silent City in TZ, Mwanza the Rock City
 

Attachments

  • 1467320237848.jpg
    1467320237848.jpg
    124.8 KB · Views: 87
  • 1467320243372.jpg
    1467320243372.jpg
    104.4 KB · Views: 89
  • 1467320250522.jpg
    1467320250522.jpg
    26.7 KB · Views: 85
  • 1467320255802.jpg
    1467320255802.jpg
    94.2 KB · Views: 75
  • 1467320261371.jpg
    1467320261371.jpg
    69.8 KB · Views: 119
  • 1467320266241.jpg
    1467320266241.jpg
    55.1 KB · Views: 82
  • 1467320273408.jpg
    1467320273408.jpg
    39.5 KB · Views: 77
Wee ni muongo sana ,unasifia kwenu mpaka unapitiliza na vya wenzenu unafanya vya kwenu hapo namba 4 umeitaja mbuga ya serengeti kwamba ipo Arusha ni uongo, Serengeti haipo Arusha, Serengeti ipo mkoa wa Mara,sema tu watalii wengi hupenda kuanzia safari ya kwenda huko kwa kutokea Arusha.
Hata wakenya wanasema mlima kilimanjaro wa kwao. Hapo ni jinsi unavyokua mjanja kwenye advertisement. Big up kwa mleta mada
 
Mimi ni mtanzania wala sina matatizo ya akili kama ninyi. sehem ya kusifia nitasifia kwa mustakabali wa nchi ya TZ na sehemu ya kuponda nitaponda kama hivi kwa mustakabali wa TZ.
vijana ni wa arusha ni kama punda wa wazungu hapo arusha au kama wasindikizaji wa msafara.
Maisha ya arusha mnayoyasifia ni wazungu na watu wachache wa arusha wanaoishi aina hiyo ya maisha na hizo picha za majengo mnaishia kuzitazama nje.
Amkeni kwenye huo utumwa wa akili kwa kusifia huo ujinga.
Nendeni kule sakina nyumba nyingi wanaishi wakenya labda maeneo ya raskazone, milestone n. k, nendeni njiro nyumba nyingi wanaishi wazungu na makampuni ya kigeni kuanzia pale general tyre nanenane labda kule porini njiro kwa msola hadi kule veta karibu na atomic.
Maeneo ya makazi kwa wanaarusha wengi ni ngaramtoni, sekei, sanawari, matejoo, mianzini, kwa idi, moshono, kijenge juu na chini, chekereni, unga ltd usa, tengeru, maji ya chau n. k hapo ndio mjini.
Nenda huko kijijini kuanzia kisongo, monduli, makuyuni, mto wa mbu, karatu n. k ndio kunatia huruma kabisa.
Sasa nini cha ajabu huko arusha hadi mnakuja hapa JF kuleta utoto wenu.
Elimisheni jamii zenu huko maporini arusha sio kwa kulewa mibanana ya mia mbili mnakuja kujidhalilisha kwa ukanda na ukabila wenu huko kijijini arusha.
Pasuka kwa wivu au hasira hahahahahaha.. Kwenu vumbi tupu, ebu check hapo..

02TN11-IM1002-arusha-1475.jpg
 
Welcome to the silent city and biggest city in Tanzania say Dar es salaam
 

Attachments

  • 1467321132725.jpg
    1467321132725.jpg
    14.8 KB · Views: 78
  • 1467321138411.jpg
    1467321138411.jpg
    26.8 KB · Views: 77
  • 1467321141888.jpg
    1467321141888.jpg
    32.7 KB · Views: 76
  • 1467321150731.jpg
    1467321150731.jpg
    27.4 KB · Views: 74
  • 1467321154751.jpg
    1467321154751.jpg
    31.9 KB · Views: 78
  • 1467321159023.jpg
    1467321159023.jpg
    33 KB · Views: 70
  • 1467321163752.jpg
    1467321163752.jpg
    52.8 KB · Views: 66
  • 1467321169045.jpg
    1467321169045.jpg
    14 KB · Views: 70
  • 1467321177591.jpg
    1467321177591.jpg
    8.7 KB · Views: 69
hii mall haina hata miezi miwili kuwa launched, Arusha grab your popcorn and enjoy your drama.........

15154011888_64396ff11e_b.jpg


15340597625_8d1d98aace_b.jpg


15154011178_547528867d_b.jpg
Hawa AIM walianza kupambana tangia late 70's.. Kudos to them.. Good thing ni kuanzia Architect, Main Contractor to Quantity Surveyor zote ni kampuni za Arusha, Na wamiliki ni wa Arusha... Simply pesa yote ya huo uwekezaji imebaki Arusha..
 
umeua mazima man Acheni uchuro leteni ya mikoa.mingine bana
 
Arusha Babyy #Hawatuweziiii

IMG_20140720_112838_zps6920e52c.jpg


IMG_3254.jpg


IMG_3256.jpg






IMG_20140720_111538_zpsc929437e.jpg


Karibu A City Jiji la matajiri hatunaga longolongo,,,,,,,,,,,,,,,,, estate kwa fasi ya Kisongo hapo sababu kuna duwanzi zinabwatukaga huku Arusha ni Njiro tu,, mtatukoma mwaka huu...
Hii ni kwa fasi ya madwene man haa haa see you et higher stage A town
 
Huo ndo moa ambao kila nyumba inaweza ikawa HHoteli ya kitalii (Home stay tourism)
 
Hoja nilishajenga, ila sasa ni mda wa kuwachapa na makavu tu.
Acheni huo ujinga hii inchi ina mambo mengi ya kujadili sio huo ushamba wenu wa arusha mnataka muulete kwenye jamii yote ya tanzania iliyostaarabika.

Mzaliwa wa kumnazi na runazi utamjua tu... Muda wote anakua na hasira utadhani yupo kuzimu. Sa unalia lia nini hapa... Utamchaguliaje mtu cha kuandika...... Acha watu wafanye mambo yao bana jombaa... Hili ni jukwaa huru chali yangu ....nenda kaanzishe mada yako huko ukitulize watakao kuelewa waje. Upendi kuona watu wanapasifia kwao kajipumzishe kwa amani tuondolee usoro wako hapa
 
Dar es salaam town kitambo.
Welcome in the biggest city Tanzania
 

Attachments

  • 1467322172594.jpg
    1467322172594.jpg
    13.4 KB · Views: 63
  • 1467322178721.jpg
    1467322178721.jpg
    36.6 KB · Views: 63
  • 1467322182316.jpg
    1467322182316.jpg
    46.1 KB · Views: 69
  • 1467322188061.jpg
    1467322188061.jpg
    34.2 KB · Views: 69
  • 1467322195332.jpg
    1467322195332.jpg
    27.5 KB · Views: 69
  • 1467322343850.jpg
    1467322343850.jpg
    27.3 KB · Views: 69
  • 1467322350087.jpg
    1467322350087.jpg
    5.2 KB · Views: 59
  • 1467322355852.jpg
    1467322355852.jpg
    38.6 KB · Views: 70
  • 1467322365052.jpg
    1467322365052.jpg
    19.4 KB · Views: 69
Back
Top Bottom