Yaani unaongea kama huko Arusha hatujafika..kwa taarifa yako nimeishi hapo miaka mitatu hivyo huwezi kunidanganya kituArusha pa ukweli wewe...unalinganisha Arusha na huo mji unaotiririsha vinyesi barabarani?
Lakini ujue Tanzania nzima misingi waliweka waingereza na wajerumani swali ni kwamba je mpaka saivi ni waingereza wanaendesha uchumi wa Arusha la bali ni wazawa.That a point. Ikiwa msingi ya Arusha na Tanga ni waingereza lakini misingi ya Mbeya na Mwanza ni Watanzania.
Hata ungeishi miaka 100 picha tumeziona a picture speaks thousands than empty words mandhari ya Arusha ni ya kipekee na hizo projects kubwa kuna mkoa unazo ukitoa Dar.Yaani unaongea kama huko Arusha hatujafika..kwa taarifa yako nimeishi hapo miaka mitatu hivyo huwezi kunidanganya kitu
Hata Kilimanjaro zipo jombaa!!!Hata ungeishi miaka 100 picha tumeziona a picture speaks thousands than empty words mandhari ya Arusha ni ya kipekee na hizo projects kubwa kuna mkoa unazo ukitoa Dar.
....nadhani nyie wote mlifeli somo la JiografiaWee ni muongo sana ,unasifia kwenu mpaka unapitiliza na vya wenzenu unafanya vya kwenu hapo namba 4 umeitaja mbuga ya serengeti kwamba ipo Arusha ni uongo, Serengeti haipo Arusha, Serengeti ipo mkoa wa Mara,sema tu watalii wengi hupenda kuanzia safari ya kwenda huko kwa kutokea Arusha.
Ukikua utaacha kushabikia upumbavuHaters gonna hate. Kunywa panadol upunguze maumivu.
Mbeya imeshafikia ghorofa ngapi za lift mpaka sasa?Ukikua utaacha kushabikia upumbavu
Sasa habari mbaya kwako ni kwamba hivyo vipo na vinakuja vingi vipya check video hapo juu so haitakuwa kama RuvumaMleta mada amenikumbusha mbali sana nikiwa ndio nimeenda boarding school Form One kwa mara ya kwanza nilikuwa na hii tabia yake....Mimi nimekulia Arusha kwa muda mrefu pia....but jamaa kaisifia sanaa....Its a place worth staying...hata sasa natamani sana nirudi....lakini kaisifia too much....Kila mtu lazima atasifia kwao ni pazuri....Kilichoisaidia Arusha kuwepo ni ile climate na kuwa exposed na biashara zinazohusisha mataifa mengine hasa madini,mahakama za kimataifa na utalii...baaasss.....bila hivyo Arusha ni kama Ruvuma tu!
Ndio mana nawaambia ninyi vijana wa arusha mna mtindio wa ubongo na ni washamba kweli,Hivi unamjua Huyo jamaa au unaropoka tu!! Ushawahi kufika njeree bistro pale usa river/leganga ukanywa hata maji?
Ukikua utaacha ushambaMbeya imeshafikia ghorofa ngapi za lift mpaka sasa?
Maana mpaka mwaka jana kulikuwa na ghorofa moja tu la lift.
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Arusha pia ni sehemu ya Tanzania mbona unapachukia sana broh?Ndio mana nawaambia ninyi vijana wa arusha mna mtindio wa ubongo na ni washamba kweli,
Huko kijijini arusha nakufaham kuliko unavyopafaham wewe mshamba.
Hapa njeree ni sehem ya kawaida sana ila kwa ushamba wako haujawah hata kuingia unaanza kuongea pumba tu.
Nilipokuwa huko kijijini arusha nikiwa leganga hapo njeree ndio nilikuwa naenda kunywa bia ambayo wanauza elfu tatu hapo.
Pembeni ya njeree kuna benki ya nmb na mbele yake kuna minmarket ya leganga niliyokuwa nanunua mahitaji yangu.
Acheni ushamba ninyi vijana wa arusha , hicho kimji cha kawaida sana
Jukwaa huru hili kijana, tunafaham ajenda zilizopo kwenye nyuzi nyingi tofauti zinazoanzisha humu JF na watu wa huko.Arusha pia ni sehemu ya Tanzania mbona unapachukia sana broh?
Ila makondakta amesema watu type hyo yenu tusiwafollow.Ukikua utaacha ushamba
NonsenseIla makondakta amesema watu type hyo yenu tusiwafollow.
Hivyo nakupuuza tu
Peleka ukuda huko threader ameshasema hataki ligi objective zake ni kuuelezea mji wa Arusha and obvious that's what have been done here wewe tu ndio nakuona unaleta challenge za kipimbi like an empty set blal fuuu.Jukwaa huru hili kijana, tunafaham ajenda zilizopo kwenye nyuzi nyingi tofauti zinazoanzisha humu JF na watu wa huko.
Usiogope kaa pembeni uone huu mchezo unavyoenda
Ni shidaaaaa,Kwa hiyo hii Ndo best street in Arusha haha my gosh