Mkuu sitaacha kuusifia mkoa wangu hata siku moja... Wewe humu ikitajwa vibaya Range Rover au Dar lazima ufike kutetea, lakini ajabu hupendi wengine tusifie vyetu...
Mimi kusifia Arusha haiwi ndio kuulinganisha Mkoa wangu na sehemu nyingine..
Utafikiri ninamiliki....🙂🙂🙂🙂🙂🙂...Kwa dongo hilo nime surrender.....
Kule sio half London bali ndio London yenyewe weather condition ya kule ni special na plot itakua bei ya kitalii.Yani mkuu huko na Tengeru ya chini kwenye Estate za kahawa za Holy Ghost Fathers....hayo maeneo nayazimikia sana...
2013~ ndio inanishinda....one day yes.....Hahahaha sasa nani hajui kama upush hiyo kitu humu??
2013~ ndio inanishinda....one day yes.....
safari city ipo maeneo gani?Part of Safari City hiyo... Vipi kule kwenu Rungwe miradi mikubwa ya matrillioni kama hii itaenda lini?? Lazima mpasuke ateri kwa chuki hahahahahahahaha.. Mind u, ujenzi umeshaanza
mateves karibu na kisongo Arifsafari city ipo maeneo gani?
Matevez.. Kilomita 10 kutoka mjini kama unaenda Dodoma..safari city ipo maeneo gani?
Hahahaaa...kitu maini na nyagi...ni shida arif!Haha chugga asubuiiii tushanyaka gomba freshh wakat mikoa mingine wanasaga baree
Ni shida erooo!Mkoa wa Kwanza Kuikataa C.C.M
Ishaanza au bado manmateves karibu na kisongo Arif
Ujenzi ushaanza mkubwa....!Ishaanza au bado man
Vp iko under construction?Matevez.. Kilomita 10 kutoka mjini kama unaenda Dodoma..
O.m.g! Can't wait to see.. Ni sheedah BG up A townUjenzi ushaanza mkubwa....!