si kweli.Hao jamaa wa Arusha wanawaza pesa tu hapo hata ukimuuliza mtu njia ya kwenda kituo cha mabasi hana mda na wewe mda wote vichwani kumejaa pesaaa pesaa
hapana ni videoctu nilichek ilikua inasambaa mitandaoniNi wapi,arusha au?
ni kweli kuna ukaribu lakini kwenye medani za customer care kuna umbali mkubwa sana hata baadhi ya sekta walizoajiriwa wakenya ndani ya arusha ukiingia utaona utofauti mkubwa na wengine ambao wako tofauti katika care ya mteja ni wahindi waliopo hapo ukiingia kwenye biashara zao ni wakarimu kwa watejaArusha kuna influence kubwa sana ya nairobi kutokana na ukaribu wa miji hii miwili.
Umenitangulia kaka.Nilitaka kumwambia aje Iringa akutane na kuburi cha wahehe.Umeenda dukani na 10,000/= unataka kitu cha 4,000/= utamsikia muuzaji anakujibu bee hugo guchenji mi sina jiendeage tu.Nenda Iringa utasikitika na kucheka at the same time,
unaingia kwenye duka la nguo muuzaji kakaa nje anakutazama unavyoingia, unamuita akuuzie anakutajia bei akiwa hapo-hapo nje tena kanuna balaa inabidi ujiondokee zako.
wafanyabiashara mkoani ndo walivo tena wenyewe hawaoni tabu.Nenda Iringa utasikitika na kucheka at the same time,
unaingia kwenye duka la nguo muuzaji kakaa nje anakutazama unavyoingia, unamuita akuuzie anakutajia bei akiwa hapo-hapo nje tena kanuna balaa inabidi ujiondokee zako.
Jamaa amesema haoneagi mtu, na jamaa ni CDM kabisa huyu ila kaamua kuwaambia wenzake ukweli tu. Hivyo kuna ka ukweli flani ktk malalamiko yake![]()
![]()
Mkuu umenikumbushia mbali, Ilboru ulimaliza mwaka gani?Wakati nasoma shule pale Ilboru kuna siku (weekend) tulienda kutembea mjini, basi tukazungukaa mpaka tukafika mitaa ya Kilombero kuna mitaa wanauza viatu.
Tukafika kwa jamaa mmoja hivi alivalia kibishoo, mwenzetu mmoja akaulizia bei ya kiatu alichokipenda, yule muuzaji akajibu "madogo nyie piata tu, hivi viatu hamuwezi bei yake" daah yule mwenzetu kumbe yuko vizuri mfukoni akamwambia ninaweza kununua vitu vyote hapa, acha dharau, taja bei. Muuzaji kataja bei mwenzetu akamwambia hiyo bei haifikii hichi nilichova....
Jamaa wengine wanadharau aisee