real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,302
Ulikuwa darasa moja na Baraka? alikuwa mwaka 2007 hadi 2009Baraka alikuwa HP
Ulikuwa darasa moja na Baraka? alikuwa mwaka 2007 hadi 2009Baraka alikuwa HP
Uko vizuri, ni 2006 to 2008 FebUlikuwa darasa moja na Baraka? alikuwa mwaka 2007 hadi 2009
Huijui chuga wewe.Nazani unaiongelea Zanzibar kwa Arusha big NO! Nakubali chache hazikosekani na labda bahati yako mbaya ukawa unatembelea hizo sehemu zenye huduma mbaya..
Lakin Arusha ni sehemu yenye huduma nzuri, wachakarikaji wengi, ushindani ni mkubwa wa biashara.So kila mtu anajitahidi kutoa huduma bora ili kuwavutia wateja wengi.
Pia sehem nzuri zenye huduma na bidhaa bora zinajulikana usijiendee tu sehem ni sehem.ova
ok mkuu, ulikuwa pcb nini.. mi nilikuwa o level kipindi hicho,Uko vizuri, ni 2006 to 2008 Feb
Ha haa wewe ndiye ulikuwa unashinda mtegoni? Mimi nilikuwa najichimbia chumba cha pale mtegoni (dereva wa Nissan ya shule aliweka saloon yake mleok mkuu, ulikuwa pcb nini.. mi nilikuwa o level kipindi hicho,
Ukishapajua itakusaidia nini?Ni wapi,arusha au?
Yaani kuna watu waajabu wanakuja kununua pipi ya shilling 50wanataka uwabembeleze uwalambe na miguu ,utadhani waliombwa waje kununuaUnataka kubembelezwa?
Kama mteja utanunua kama siyo pita hivii...usituletee marinjirinji bwasheee
Kwakweli mi mwenyewe maswala yakwenda dukani nakuanza kusema naomba naona ni ushamba na ukijijini huwaga sifanyi hivyohawa jamaa wameshazoeshana hivyo. mie nimekaa miaka minne Arusha. Mteja akienda dukan anamwambia mwenye duka nipe kitu flan wakat huku Dar tunasema naomba. ni tabia ambayo wamezoeshana na wenyewe wanasema mwenye pesa ndo mwenye kauli