Arusha hakuna ukarimu kwa wateja

Ha haa wewe ndiye ulikuwa unashinda mtegoni? Mimi nilikuwa najichimbia chumba cha pale mtegoni (dereva wa Nissan ya shule aliweka saloon yake mle
Chumba cha ma VIP kile, kule walikuwa wakikaa viongozi wanaojuana na viongozi asiee...mimi mtu wa msuli bedi sana, class nilikuwa siendi, baridi sikiweza aisee
 
Huna hela unataka ubembelezwe,tafuta pesa sela,mbaya sana wanaume kuomba kubembelezwa na mwanaume mwenzako,Wote mnataka kufanya mbadilishano afu unataka mmoja wapo awe mpole kwako

Lakini mbona me naona hakuna mkoa ambao una watu wenye lugha za kibiashara kama hiyo mikoa ya kaskazini au ulitaka upigiwe magoti


Nafikiri umeifasili thread tofauti.....
 
Unataka kubembelezwa?
Kama mteja utanunua kama siyo pita hivii...usituletee marinjirinji bwasheee

Hpana Hornet, si kubembelezwa....ni kusikilizwa!!! by the way unauza nini hapa mjini labda naweza kuwa mteja wako....!!!
 
Hpana Hornet, si kubembelezwa....ni kusikilizwa!!! by the way unauza nini hapa mjini labda naweza kuwa mteja wako....!!!
Mie kama kariakoo
Unapata fresh vegitables
Unapata well packed fresh fruit salad
Unapata msosi wa maaana
Unapata mashuka ya mtumba na yale ya Ug.
Sema nikuuzie nini bwashee
 
Hpana Hornet, si kubembelezwa....ni kusikilizwa!!! by the way unauza nini hapa mjini labda naweza kuwa mteja wako....!!!
Mie kama kariakoo
Unapata fresh vegetables
Unapata well packed fresh fruit salad
Unapata msosi wa maaana
Unapata mashuka ya mtumba na yale ya Ug.
Sema nikuuzie nini bwashee
 
Na ujanja wangu wote ukijumlisha na uchakaramu wangu wote kuna Siku humu humu niliwahi kusema kwamba hakuna Mkoa ninaouogopa na kuuheshimu nchini Tanzania kama wa Arusha kuna ambao mlikuwa hamnielewi ila sasa naona taratibu naanza kueleweka kwa matukio ambayo yanawatokeeni wengine.

Wewe kama Mkoa tu ' Malaya / Makahaba ' wanaojiuza wana mibonge ya Mibisu ' mbavuni ' unategemea kuna ' Customer Care ' hapo? Huo Mkoa ukiishi inakubidi na Wewe kidogo ' Fyuzi ' zako zilizomo ndani ya Medulla Oblangata yako ziwe ama zimelegea au zimeachia ndiyo utauweza la sivyo kila siku utakuwa na ' majeraha ' tu.

Shikamooni Arusha.
Mkuu Tuombe Radhi
 
Mie kama kariakoo
Unapata fresh vegetables
Unapata well packed fresh fruit salad
Unapata msosi wa maaana
Unapata mashuka ya mtumba na yale ya Ug.
Sema nikuuzie nini bwashee

nikipajua uuziapo nitakuja...
 
Ukweli mkuu, niko Arusha sasa mwaka wangu wa pili, hakuna ukarimu kabisa kwa wateja utafikiri unapata huduma bure. Kuna baadhi ya bar ukienda kama sio mdau wa mara kwa mara inachukua muda kuhudumiwa. Hakuna neno karibu tena kwa wateja.
 
Back
Top Bottom