Nitakuwa so unfair, kama nitamwambie aweke picha za watu wakimzomea wakati yeye hana na hajaona watu wakimzomea. Nimemwomba aweke hizo picha za umati wa vijana anao contend kwamba walimshangilia kinana. Hizo bila shaka zitakuwa ni rahisikwake kuzipata kuliko za waliozomea ambazo yeye obvious hana, kwa kuwa hajaona tukio.
Iam trying to be more than reasonable
Mkirindi.Sikutaka kumpakazi ya kutafuta kitu ambacho hawezi kukipata. Tena ili tujue kweli Kinana alishangiliwa na vijana hao wa stand, aweke video clips kabisa!. Huoni imekaa vizuri?
Oh, mimi si mnafiki na ndiyo maana nikasema "kinana anachukiwa na kila mtanzania". Ninarudia tena kusema, hana record yoyote ya kumfanya apendwe au kushangiliwa na binadamu yeyote Tanzania.
Wana ccm wenyewe wanamchukia sana, ila unachokiona kikimtumia ni mfumo wa ccm. Huo ndio unamuhitaji na ndiyo maana hapa personal life record wala moral authority over anything zaidi ya kuvalishwa mavazi ya kijani, kwa ajili ya mfumo wa ccm. Hao unaowana wakiongozana naye wakiwa na mavazi ya kijani, hawafanyi hivyo kwa sababu wanampenda Kinana, wanakwenda naye, wakiimba nyimbo na vigelegele huku mioyo yao ikivuja damu ya huzuni, kwa sababu ni ajira na ni sharti la mfumo. Si kwa hiyari yao!.
Sasa Arusha na ccm wapi na wapi hadi washangilie mfumo wa ccm? Kama ccm ilishajifia Arusha, kinana ana uzuri gani ama umuhimu gani hadi umati umshangilie?
Hii ya Arusha nimekupa mfano lakini hali hii ni Tanzania kote, na ndiyo maana ma DC na Wakurugenzi wanafanyaga kazi ya ziada, na kufunga shughlui zingine za maendeleo eti wakiandaa mapokezi ya kinana!.
Duniahii haipo dungu yangu. Ukweli ni ukweli na hata siku moja usidanganye utawapa watu embe wakati una ndimu na uwezo wa kupata embe huna.
Kinana hana umaarufu, katika Tanzania hata wwana ccm hawataki jangili, fisadi na gaidi. Mnalawazimisha tu kuambatana naye na wanalazimika kutii kwa sababu wanajua nini kitawakuta wakienda kinyume na mfumo wenu. Nani hawajui?
Ndugu Mpendwa TABBY; Kama kweli wewe ni mpenda haki na sio mnafiki, si ungewataka wote hao waweke Picha za KM alipozomewa na aliposhangiliwa. Ni kweli yako Unafiki ni utumwa, na unaposema Kinana anachukiwa na kila mtu Tanzania, inaonyesha ya kuwa wewe ndiye uliyopo kwenye usingizi mrefu na ndoto.