Arusha- Baada ya kuzomewa Kinana wafanyabiashara waondolewe

huna lolote mupuuzi wewe! kinana hakuna mahali alipozomewa kila mahali alipopita alikuwa anashangiliwa na ummati wa watu!

Ww ndo mpuuz wamezomewa unafikir huku kunafutui ya fisi vijana tunajielewa,na kamwambie aliwaahid wamma wa vikundi mbal Milion 50 ndo akapata watu ila kasepa nazo,
Katibu mkuu wako anavyofanya vya kitoto futui kbs, na asipoangalia vzr atakuwa mic.
 
mods, naona sasa jamii forum imekuwa sehemu ya kupotosha,

kwa taarifa kamili iliyotolewa na naibu meya wa jiji la arusha, ni kuwa halmashauri ya jiji la arusha ina mipango ya mbeleni ya kupanua hilo soko,(future plan), haya mengine wanayosema watu wa chadema ni siasa chafu, na za hatari kwa jamii, baada ya kuona katibu mkuu wa ccm amepokelewa kwa furaha na hamasa kubwa na wanaarusha, pls mod kuweni makin na taarifa za kupotosha,

Eti kapokew na hamasa kubwa walah kama nasema uongo Mungu aniadhibu, mlikod wadada wakata viono mitaan ili kuwavuta watu, pil watu waliokuwa uwanjan si wanaarusha ni wamama waliokuwa na msafaraa, na kibaya zaid aliwaahid vikund milion 50 wakaja kwa wing kumbe wakaingizwa mjin hata naul hamkuwapa, kinana futui anayoifahanya ni aibu, halafu mbona hajaja nafis???
 
Ommy
Awa mapoyoyo ya ccm wanajua arusha unaweza kuja na propaganda za kifutui vijana wa arusha wana elimu ya uraia sio wa Lumumba wanawaza bu7
 
Weka picha za umati wa vijana hao wakimshangilia. Wamshangilie kwa lipi? Ukiukubali kweli utakuw amtu huru. Unafiki ni utumwa na kuukataa uhalisia ni kuishi kwenye ndoto!. Nani asiyetambua namna kiinana anavyodharaulika na kuchukiwa na kila mtu Tanzania?

Mwambie mkuu huyo mbulula eti anasema umati anafanya wote ni mbulula ccm hakuna jaman arusha na kinana alipata aibu ya mwaka arusha, mkutano wa juz boma ndo balaa aibu tupu
 
kinana nijangili wa nchi hii lakini maccm ndio tegemeo lao change ndio mwizi wa nchi hii lakini maccm ndio walikuwa wanakata viuno bungeni wakimshangilia mwiz kwa katiba ya kuwalinda huku waki mtukana warioba sasaivi maigizo ya lowassa ndio anataka nao urais nakuambia ccm nipepo la kukemea na ukiwa ccm lazima ujitoe ufaham kwa ukjinga wao
 
Last edited by a moderator:

Hakuna Msafi ccm
 
Last edited by a moderator:
Weka picha za umati wa vijana hao wakimshangilia. Wamshangilie kwa lipi? Ukiukubali kweli utakuw amtu huru. Unafiki ni utumwa na kuukataa uhalisia ni kuishi kwenye ndoto!. Nani asiyetambua namna kiinana anavyodharaulika na kuchukiwa na kila mtu Tanzania?

Ndugu Mpendwa TABBY; Kama kweli wewe ni mpenda haki na sio mnafiki, si ungewataka wote hao waweke Picha za KM alipozomewa na aliposhangiliwa. Ni kweli yako Unafiki ni utumwa, na unaposema Kinana anachukiwa na kila mtu Tanzania, inaonyesha ya kuwa wewe ndiye uliyopo kwenye usingizi mrefu na ndoto.
 
Fisi na Tembo ndio rafiki zake
 
Ndugu Mpendwa TABBY; Kama kweli wewe ni mpenda haki na sio mnafiki, si ungewataka wote hao waweke Picha za KM alipozomewa na aliposhangiliwa. Ni kweli yako Unafiki ni utumwa, na unaposema Kinana anachukiwa na kila mtu Tanzania, inaonyesha ya kuwa wewe ndiye uliyopo kwenye usingizi mrefu na ndoto.
Kuwa nandugu anaeamini ccm inasira wakati dira yao imeishia kwenye mafisi niupungufu waakili
 
Back
Top Bottom