Arusha- Baada ya kuzomewa Kinana wafanyabiashara waondolewe

Kinana anajulikana kwenye ujangili na ndiyo maana kaanzisha bifu na Nyalandu.
 
Utapeli wa Kinana umeshafahamika nchi nzima, nadhani ccm itawabidi watumie plan "B" Wasira kuwalaghai wananchi kwenye kampeni za October. Maana Kinana kamaliza singo zote.
 
huna lolote mupuuzi wewe! kinana hakuna mahali alipozomewa kila mahali alipopita alikuwa anashangiliwa na ummati wa watu!

Duu walikuwa wanaimba tembo weetu?kwani kinana ndio anakaa na tembo?
 
Attachments

  • 1427258294838.jpg
    1427258294838.jpg
    73.7 KB · Views: 335
Upuzi ni huo waliofanya kufukuza kwa hao vijana wanaofanya biashara hapo soko kuu maeneo ya kwenye kahawa.. na Utapeli aliofanya kwa Wamama na Wasani wa Arusha kua wajiunge na ccm watapewa mikopo

Ndiyo jadi yetu hiyo mkuu
 
Mods kwanini habari chonganishi na za kuzusha kama hizi mnaziacha???

Kwa taarifa yako mods wana akili kubwa sana kuliko utumbo wako huo,nilini umepewa cheo cha kuwa mshauri wa mods?
 
mods, naona sasa jamii forum imekuwa sehemu ya kupotosha,

kwa taarifa kamili iliyotolewa na naibu meya wa jiji la arusha, ni kuwa halmashauri ya jiji la arusha ina mipango ya mbeleni ya kupanua hilo soko,(future plan), haya mengine wanayosema watu wa chadema ni siasa chafu, na za hatari kwa jamii, baada ya kuona katibu mkuu wa ccm amepokelewa kwa furaha na hamasa kubwa na wanaarusha, pls mod kuweni makin na taarifa za kupotosha,
 
Mkuu jibo hoja si kuja nivioja havitawasaidia nenda pale soko kuu ongea na wale wafanyabiashara
 
mods, naona sasa jamii forum imekuwa sehemu ya kupotosha,

kwa taarifa kamili iliyotolewa na naibu meya wa jiji la arusha, ni kuwa halmashauri ya jiji la arusha ina mipango ya mbeleni ya kupanua hilo soko,(future plan), haya mengine wanayosema watu wa chadema ni siasa chafu, na za hatari kwa jamii, baada ya kuona katibu mkuu wa ccm amepokelewa kwa furaha na hamasa kubwa na wanaarusha, pls mod kuweni makin na taarifa za kupotosha,

Mimi Ni Mwandishi na ninaandika habari za kiuchunguzi sikurupuki jibu hoja kwanza
 
huna lolote mupuuzi wewe! kinana hakuna mahali alipozomewa kila mahali alipopita alikuwa anashangiliwa na ummati wa watu!

Sio kila mtu ana akili kama zako wewe fisi wa lumumba. Wanao mshangilia kila mahali yawezekana ni yale mafisi anayotembea nayo.
 
mimi ni mwandishi na ninaandika habari za kiuchunguzi sikurupuki jibu hoja kwanza

habari za kiuchunguzi wapi wewe muhuni, unapingana mpaka na naibu mayor wako, ulimsikia na mayor alivyotoa maelezo jana kuwa huu ni uzushi unaoneza na watu wenye siasa chafu, na akaeleza kwa kirefu jinsi walivyojipanga kujenga upya hilo soko, kuwa wako mbioni kuchora ramani ya soko litakavyokuwa, projection ya mradi na atimaye watafute hela either mkopo au kutoka serikalini , wewe ni muhuni usiyejielewa,
 
Kinana anajulikana kwenye ujangili na ndiyo maana kaanzisha bifu na Nyalandu.

Kamanda Izu kumbe ndo sababu alimwita mzururaji basi ccm imekwisha huyu Futuhi anaendelea kukiangamiza chama chake inawezekana kabisa na yeye ni mpango wa Mungu
 
habari za kiuchunguzi wapi wewe muhuni, unapingana mpaka na naibu mayor wako, ulimsikia na mayor alivyotoa maelezo jana kuwa huu ni uzushi unaoneza na watu wenye siasa chafu, na akaeleza kwa kirefu jinsi walivyojipanga kujenga upya hilo soko, kuwa wako mbioni kuchora ramani ya soko litakavyokuwa, projection ya mradi na atimaye watafute hela either mkopo au kutoka serikalini , wewe ni muhuni usiyejielewa,

uhuni wa Mwanahabari Huru nikusema ukweli? Na Huyo unaemsoma kwenye Magazeni baado nimuhuni? Baada ya Kinana kuja ndio wafanya biashara waondolewe? Mbona mnashindwa kuwalinda tembo mbele yake? Jibu hoja ukweli utawaeka Huru
 
Arusha- baada ya Katibu Mkuu wa Ccm kutopokelewa vema na vijana wa Arusha wanao jishugulisha na biashara katika soko kuu la Arusha mjini katibu huyo wa ccm Kinana amewamuru mgambo na green gudes wawaondoe kwa nguvu nakuhakikisha hawaonekani tena katika eneo hilo

Hayo yalitokea Arusha wakati katibu huyo alipokua kwenye ziara yake Arusha. Alipita katika eneo hilo na vijana hao wakaanza kuimba nyimbo za ukombozi za Chadema na escrow escrow bila kusahau tunataka tembo wetu hayo ndio yaliyomkuta katibu huyo wa ccm nakuamuru vijana hao kuondolewa. Je kutounga ccm mkono ndio kuondolewa kwenye eneo lako la biashara?

Mwanahabari Huru

Kiwanda cha uongo kazini.
 
Back
Top Bottom