Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,873
Kawaida ya fisi vioja ndio mwendo wakeSasa umenuna. Unaulizwa tusi liko wapi? unakuja na povu - kwi kwi kwi teh teh teh!
Punguani wahed.

huna lolote mupuuzi wewe! kinana hakuna mahali alipozomewa kila mahali alipopita alikuwa anashangiliwa na ummati wa watu!
Arusha- baada ya Katibu Mkuu wa Ccm kutopokelewa vema na vijana wa Arusha wanao jishugulisha na biashara katika soko kuu la Arusha mjini katibu huyo wa ccm Kinana amewamuru mgambo na green gudes wawaondoe kwa nguvu nakuhakikisha hawaonekani tena katika eneo hilo
Hayo yalitokea Arusha wakati katibu huyo alipokua kwenye ziara yake Arusha. Alipita katika eneo hilo na vijana hao wakaanza kuimba nyimbo za ukombozi za Chadema na escrow escrow bila kusahau tunataka tembo wetu hayo ndio yaliyomkuta katibu huyo wa ccm nakuamuru vijana hao kuondolewa. Je kutounga ccm mkono ndio kuondolewa kwenye eneo lako la biashara?
Mwanahabari Huru

Kamanda, picha ya Kinana akizomewa ipo wapi?
naona porojo tu kwenye hii post yako.
Bangi za kuvutia chooni.
huna lolote mupuuzi wewe! kinana hakuna mahali alipozomewa kila mahali alipopita alikuwa anashangiliwa na ummati wa watu!
Siyo Arusha tuu ni Tanzania NzimaCCM wamelala kweli...siku nchi haipo mikononi ndio mtagundua....CCM imeshakufa arusha...kubali au kataa shauri lako...muulize mwigulu nchemba
Escrow
Ufisadi na ccm ni sawa na kinyesi na nzi
Wajinga ni wananchi yapo kama mazombi
hawa fisi wamewatoa wapi? kwenye mkutano wa chama fisi wa nini? je Diamond kapoteza mvuto wameamua kwenda na fisi? wameamua kuitisha mkutano tukaangalie fisi? wamekosa cha kutuambia? Uzalendo uko wapi?Kweli Kinana ni Futuhi ndio Maana michezo ya Fisi haitaisha
hawa fisi wamewatoa wapi? kwenye mkutano wa chama fisi wa nini? je Diamond kapoteza mvuto wameamua kwenda na fisi? wameamua kuitisha mkutano tukaangalie fisi? wamekosa cha kutuambia? Uzalendo uko wapi?
wamegawana yuko wa pembe za tembo,yupo wa kupokea ela zote za ubungo s5end getin,yuko wa dawa zinazokatazwa,yupo wa kulia wamegawanyika kila idara