Arusha- Baada ya kuzomewa Kinana wafanyabiashara waondolewe

Arusha- Baada ya kuzomewa Kinana wafanyabiashara waondolewe

Kiwanda cha uongo kazini.

Ccm waliwachukua watu waliofukuzwa na chadema miaka miwili iliyopita na kurudi ccm mwaka jana na kugombania mwenyekiti wa kijiji kwa kupitia ccm nakushinda eti nimwanachama wa chadema kajiunga ccm.. wongo wa fisi huo plus Futui
 
Zitto hajambo? msalimie.

Kisha muulize, kaondoka na wangapi?
 
Mlishamuliza Kwanini Amekula pesa yenu na matakwa yenu yakusambaratisha Chadema yameshindikana?

Hivi wale chadema waliomminya Khalid Kagenzi korodani zake mmeshawapatia dhamana? au mmewatosa kwa jina la babu?
 
ukweli unauma yaani kinana kuambiwa ukweli anaumia kiasi hicho acha dawa imuingie. watu wanataka mabadiliko ya kweli. Arudishe baaahnaa!!! hii ni Aaaarushaa vunga chaliii.....
 
huna lolote mupuuzi wewe! kinana hakuna mahali alipozomewa kila mahali alipopita alikuwa anashangiliwa na ummati wa watu!

We poyoyo unaijua arusha au unaiskia alizomewa mbaya mpaka ukatokea ugomvi wa kupelekana polisi sasaivi hiloeneo la soko kuu lina uliz awataki hata mtu akae
 
We poyoyo unaijua arusha au unaiskia alizomewa mbaya mpaka ukatokea ugomvi wa kupelekana polisi sasaivi hiloeneo la soko kuu lina uliz awataki hata mtu akae

Na azomewe tu sasa hatuna namna nyingine kama anajiona yeye ni gangwe anaweza kuingia popote azomewe tu maana tumechoka
 
Back
Top Bottom