The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,321
Nakuruhusu kaniroge.Uchawi upo kijanaa
Nakuruhusu kaniroge.Uchawi upo kijanaa
Sioni wakikuelewaWakati wa Lyatonga Mrema Kesi za dayosisi waulize ilikuaje ilibidi aende kuwaomba baada ya kutumia silaha kukwama
Ukirekodi huogopi liganga la kichwa wewe😳😳😳
Na hakuna kideo.. wananchi wa nchi hii wanavyopenda kurekodi hatari bila kusaidia.. wow
Hatuwezi kuuza tecnology kwa nchi inayoshindwa. Huko tutafanya soko life. Tuwausie washindi warusi ili tuje tuseme "isingekuwa sisi kuwauzia tecnology mpya wasingeshinda. Hiyo itasababisha hela yetu kupanda thamani mataifa ya magharibi yatapishana kuja kununua tecnology ili wakapambane na urusi. Watatushawishi tuache kuwauzia warusi huku wakitupa mikopo isiyo na riba. Watajipendekeza sana juu yetuWaafrica sisi niwajinga sana, Uchawi ni Technology iliyo mbele ya wakati tukiitumia vizuri itatunufaisha.
Mfano hii technology ya mawe kurushwa na watu wasiojulikana, juju, kutupiwa majini tunaweza kuwauzia Ukraine wapambane na urusi.
Wakati Urusi wanaangaika kuingilia mawasiliano ya Ukraine, wao Ukraine wanatumia tu Ramli wanaona mipango yote ya Urusi alafu wanatuma juju wanajeshi wote wanakuwa vichaa , Au wanatumiwa mawe yasiyoonekana
Tunatumia viungo vya maiti kutoka mochwari tuShida ni viungo vyake sasa vya kuukamilsha uchawi ndio havikubaliki. Kwa mfano ili ungo wa kichawi upae yanahitajika mafuta ya binaadamu mtoto mchanga. Gear lever ni uchi wa kiume, honi matiti ya binadamu etc etc. Vipi mpaka hapo tuendelee na tekinolojia ya kichawi?
Itakuwa ni mizimu ya JIWE