Wandugu Masanja
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 1,569
- 515
Vipi Giroud ataweza gemu inayofuata?
Vivaaa gunners...
Nimeshabishana mpaka mate yamenikauka,labda nijaribu huku JF naweza nikaeleweka...
Tuache mazoea,ukubwa wa jina,mafanikio,mabavu/nguvu nk.
Kati ya wilshire na ozil ni nani fundi...??
On my side naona Wilshire ni mziki mwingine..!!!
Ahsante kwa kukubali hilo, tunajua kwamba sifa ya kwanza na muhimu zaidi ya kuwa Arsenal fan ni kuwa mbishi tu bila logic wala fact. Kuna wengi tu hapa kwenye jukwaa lenu wamewahi kubisha hata pale wanapopewa facts, kwa hiyo haujapotea uko kwenye jukwaa sahihi, jiandae tu kuwa na mate ya ziada maana JF ni ukumbi wa facts. Karibu sana!
Hahahah.... Peasant bana, huyu mgeni wetu hapa weye jirani unakuja mtia maneno, kha?!
Siku ya tatu leo tangu ule msiba wenu na Basle, matanga mtayaanua kwa pilau la mzee #AllyMapilau au mtatunywesha uji na maharagwe kama msiba wa Everton na Bayern?
Poleni watani....
Oopsss, pale Cobham training centre leo nimeona wadhungu na banners zao "Mourinho Out!" Wengine yao yameandikwa "Mourinho Is Sell By Date!"....
🙉
Msimu huu huenda Wenger ataangukiwa na bahati ya kuchukua hiyo champions league.
Arsenal ikichukua UCL msimu huu wa 2013/14, naacha kuwa mfuasi wa Manchester United na kuanza kushabikia Arsenal.
Kumbuka maneno hayo.
Nina wasiwasi wewe ni mfuasi wa arsenal maana kila siku umo humu badala ya kuwa kule jukwaani kwenu....Arsenal ikichukua UCL msimu huu wa 2013/14, naacha kuwa mfuasi wa Manchester United na kuanza kushabikia Arsenal.
Kumbuka maneno hayo.
Nina wasiwasi wewe ni mfuasi wa arsenal maana kila siku umo humu badala ya kuwa kule jukwaani kwenu....
Katavi Mbu na Wacha1 someni maneno yale vizuri haswa wewe Wacha1 makelele!
Arsenal FC siyo klabu ya Football Club, ni Financial Company!
Hivyo kushinda makombe siyo priority, bali kupata faida ya pesa.
Ndiyo maana nime-dare kusema hivyo; nikijua haitowezekana kwa aina ya wachezaji na mfumo uliopo Arsenal Financial Company.
Katavi nipo kila mahala, ndio maana naitwa Nzi. Nzi ukaa chooni, kwenye utamu, uchafu, ukakasi, uchungu n.k. Hivyo nizoee tu chifu.

......kha?!....,
Hataaa..., hatutaki, bakia huko huko Everton, arghh....Maniyuuu!!!