Hapo kuna lugha ipi chafu?Unafurahia hizi lugha chafu
Hujajifunza tu kuheshimu dakika tisini?Mmeenda kichwa kichwa Eti Bayern ni wabovu
Timu ina Harry Kane mbele ,Pembeni Sane na Gnabry ,shimoni Musiala mnaichukulia poa
Kuna timu ulaya haina kikundi LGBT SUPPORTESHapo kuna lugha ipi chafu?
Gay Gooners ni kikundi cha Arsenal LGBT+
Kupigwa bomba = kufungwa goli.
NakaziaArsenal kumaliza msimu bila kombe ni jambo zuri sana.
NdotoArsenal kumaliza msimu bila kombe ni jambo zuri sana.
Angalau tunashiriki na tuna uhakika wa kushirikihawa wakora wanakimbizwa mbaya
Nothing wili change or not changeKingsley Coman yupo Benchi leo kazi ipo
Usithibutu kuangalia ni aibu
A true difinition of champions leagueBayern hawacheki na sisi kabisa
Unacheza lini mkuu?Kuna mjinga mmoja kashafungwa akiwa nyumbani.View attachment 2959058
LeoMechi yako leo au kesho mkuu
LeoUnacheza lini mkuu?