Ferruccio Lamborghini
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,664
- 2,517
Tunaanza na mamaako kwanzaHayo matusi yanamfaa mamako
Tunaanza na mamaako kwanzaHayo matusi yanamfaa mamako
Kwenye uzi wenu niliwahi kuandika hiviJitahidini musishuke daraja.
Hili goli...1st goal. PepeView attachment 1687162
Auba kapatwa na shda gani?Arteta on Aubameyang:
"He's having a difficult time and this win is for him."
Kwahiyo united yeye hashindi leoKwenye uzi wenu niliwahi kuandika hivi
United kua wa kwanza ni kama kumuona tembo juu ya mti. Wote hatujui kapandaje ila tuna uhakika atashuka.
Now to be fair mnaongozwa na bahati kipindi hichi, mnafuatwa na game nyanya baada ya Arsenal hamna majeruhi so mko tayari kushika tena nafasi ya kwanza au siyo?
Hehehe, sheffield ikitoka kwenu inaenda kwa City, leo leicester akishinda united inashuka mpaka nafasi ya tatu. Kisha ili iwe ya kwanza itabidi imfunge Arsenal.
Kazi au?
SijuiKwahiyo united yeye hashindi leo