Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arteta on Smith Rowe: "He was injured for the cup game, we knew he could probably not play the whole game today. He had some muscular discomfort and had to come off.
 
Arteta on Odegaard: “We are pretty close, but it’s not finalised. We are very positive we can finalise the deal.”
 
F/T: 3-1 Five wins from six in the Premier League for Arsenal. Pepe, Saka and Lacazette with the goals. Mikel Arteta's side are now five points off the top four.
 
SAKADINHO
IMG-20210127-WA0023.jpg
 
Player Ratings Leno 7 Bellerin 7 Holding 7 Luiz 7 Cedric 8 Partey 7.5 Xhaka 7 Smith Rowe 7.5 Pepe 8 Lacazette 9 Saka 9 Subs Elneny 6 Willock 5 Willian 6
 
Hua nawaambia mashabiki wa chelsea kwamba chelsea na Arsenal uhasama wao ni mdogo kuliko Arsenal na spurs. Notice kwamba hamna anaeonyesha kama kuipita chelsea ni jambo la muhimu, ila ngoja apitwe spurs.

Kufungwa kupitia set pieces au deflection haigarantii ushindi wako siku zote ndiyo maana tukishinda thru penalties au deflection hua nahesabia hiyo gemu hatukua na plan. Magoli yetu yalikua poa, watu wanajipanga, pasi inapigwa mtu anascore.

Huyu Soares na Saliba anachokifanya Nice ni proof ya Arteta kung'ang'ania watu hata inapotokea kwenye benchi tunao wanaoweza kubadilisha matokeo in our favour. Emile kamprove hivyo na Cedric anafanya hivyo, stats za Saliba zinatufanya tuseme kocha asiwe mkazaji shingo.

Just a day nasema Pepe anahitaji game time kwenye ligi, anapangwa kisha anascore and he pulls a hell of a fight key passes and what not this guy anahitaji rhythm. Emile kaumia? Acheze namba ya Emile, atakua lethal kuliko Willian.

Laca siku hizi anaachia mipira fasta siyo kama enzi zile za kupoteza mipira hovyo. Jmos awepo.

Kama kilichotokea 2nd half kitatufuata tena mpaka jmosi hiyo game tunaweza ipoteza. Watatupiga roba na kusakama lango kama alivyofanywa liva, it's weird jinsi timu ilivyoamua kulinda ushindi na komedi ikawa vile, saints back down wakiona na wewe unawapelekea moto kukaba inawafanya wazidi kuja.

Tuliwahi cheza 4 4 2 na tuliiona haitufai coz hatukua na intensity kama yao with united game approaching mid inahitaji kujifunza na kujikaza with whats ahead.

Game ilikua poa tho. Bado top 4.
 
Jitahidini musishuke daraja.
Kwenye uzi wenu niliwahi kuandika hivi

United kua wa kwanza ni kama kumuona tembo juu ya mti. Wote hatujui kapandaje ila tuna uhakika atashuka.

Now to be fair mnaongozwa na bahati kipindi hichi, mnafuatwa na game nyanya baada ya Arsenal hamna majeruhi so mko tayari kushika tena nafasi ya kwanza au siyo?

Hehehe, sheffield ikitoka kwenu inaenda kwa City, leo leicester akishinda united inashuka mpaka nafasi ya tatu. Kisha ili iwe ya kwanza itabidi imfunge Arsenal.

Kazi au?
 
Kwenye uzi wenu niliwahi kuandika hivi

United kua wa kwanza ni kama kumuona tembo juu ya mti. Wote hatujui kapandaje ila tuna uhakika atashuka.

Now to be fair mnaongozwa na bahati kipindi hichi, mnafuatwa na game nyanya baada ya Arsenal hamna majeruhi so mko tayari kushika tena nafasi ya kwanza au siyo?

Hehehe, sheffield ikitoka kwenu inaenda kwa City, leo leicester akishinda united inashuka mpaka nafasi ya tatu. Kisha ili iwe ya kwanza itabidi imfunge Arsenal.

Kazi au?
Kwahiyo united yeye hashindi leo
 
Top 4 ni ngumu. Angalia games tano zinazofuata

Arsenal V man united.

Wolves V Arsenal

Aston Villa V Arsenal

Arsenal V Leeds

Arsenal V City

Katika hawa 5 tumemfunga united na kusuluhu na leeds waliobaki walitupiga. Na hizi ndiyo games ambazo tukishinda tunajikuta ndani ya top 4.

Tatizo tulilonalo kipindi hichi ni majeruhi yasiyoisha, unamuona Mari wiki mbili kisha unasikia kajeruhiwa. Unamuona Tierney naye same shit.

Partey na Emile jana wameumizwa pia. Hapo bado hatujui Tierney anarudi lini, nilisema hawa 3 pamoja na Saka na Laca ndiyo chachu ya ushindi sasa wanabaki watu 2 kama chachu ya ushindi its weird.

Arsenal imesajili physio mpya pengine kukabiliana na hili swala ila obviously haisaidii. Ninachohofia ni kujikuta tunarudi 3 4 3 ili kuziba pengo la LB.

Pia notice kwamba kati kati ya hiyo wiki ya hizo games tano tuna game na Benfica ya home and away, now tunawezaje kugawa hichi kikosi kiperform katika tournaments zote? Na hapo ni bora hatupo FA wala EFL la sivyo mtihani ungekua mkubwa zaidi.

Baada ya hizi games 5 wanakuja wakina Leicester kisha tutaanza kukutana na chai za maziwa. Ila ni mpaka mwezi wa nne. So kama unataka kuyeyuka kwenye huu uzi yeyuka tu utaibuka mwezi wa tano ukiwa sure na ushindi.
 
138 Reactions
Reply
Back
Top Bottom