Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ushauri, Pochettinho na Alegri wanawalia timing tu kuchukua hiyo fursa sababu ni makocha wazuri kimbinu na kiushindani japo sidhani kama wataweza endana na filosofi ya Arsenal kimchezo.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Nadhani Pochetino anafundisha uchezaji unaoendana na philosophy ya Arsenal. Ila pia Arteta apewe muda, kwenye kazi kuna ups and downs.
 
November tulimtimia Emery akiwa nafasi ya 8. November hii hii tunasubiri nini kumtimua Arteta aliye nafasi ya 14?
Na matusi juu. Eti mara muhindi, mara hajui kingereza, eti anawachanganya wachezaji kuhusu "come" na "calm" ujinga mtupu.

Tunasubiria timu yetu ikae vizuri.

Bora tungekuwa na Guendouzi wetu Leo Bora kuliko willock
 
Kiukweli haya majukwaa yetu ya michezo yanaharibiwa sana na baadhi ya watu wasiokuwa na hekima na ndiyomaana hata wakati mwingine mtu huonekani kabisa.

Dully Jr, Will, King Ngwaba mnaongeaje uozo kwenye nyuzi za timu zingine bila hekima kama akina Don Clericuzio, Chief Mkwawa, Relief Mirzska, Lembu kwa hoja murwa badala ya maneno yasiyo na staha?

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Mkuu, mimi nadhani hekima huja na umri pia.
 
Unai Emery alikuwa na msimu mbaya na Arsenal since 1992, mwaka huu Arteta ana Arsenal wamekuwa na matokeo mabaya katika mechi 10 katika historia ya kushiriki EPL, infact kavunja rekodi ya Unai Emery na Arteta akibaki Arsenal itashika mkia au kushuka daraja kabisa. Amueni kusuka au kunyoa
 
Pole sana kaka, labda sababu Arteta ni Legendary players waliowahi kuichezea Arsenal ndiyomaana hatimuliwi, lakini pia Bosi wenu asiwe bahili sana kama Ed Wood Ward wa Man U anayeangalia sana faida zake binafsi kuliko maslahi ya timu kwa mashabiki.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Mkuu, siku chache zilizopita niliongelea hoja ya kumkingia kifua kroenke kuhusiana na shutma za ubahili. Asitupiwe paka mweusi bureeee.

Edu na arteta ndio wamehusika katika kutuaminisha torreira ni takataka, ozil hakabi🤣🤣, guendouzi hana nidhamu kumbe ni chuki zao tu.

Willian kwa kuwa wamemleta wao hawatamuadhibu kwa kwenda Dubai bila ruhusa maana wataambia nini watu kuhusu nidhamu ya Guendouzi???

Ceballos kwa kuwa wanamtaka wao kashapigana mara 2 ila hatopewa adhabu kama ya Guendouzi. Time will tell

Usajili wa Saliba ni miongoni mwa usajili mkubwa na uliotupa tabu sana na kutupotezea mkwanja eti Leo wanatudanganya hafai.

Haya yote ambayo ni makosa makubwa sana hayajafanywa na Kroenke.

Ingewezekana kabisa kum-keep torreira na kumsajili kiungo mshambuliaji maana hata ziyech chaguo lake la kwanza lilikuwa arsenal.
 
insta_2453385203127104500.jpeg
 
This November is different

It is the aftermath of world wide pandemic

So Arsenal affected greatly...

We gonna give him time
On 3rd December we will be welcoming our fans back to the Emirates. Arsenal wawe waangalifu mabango yasije yakaanzia hapo
 
Arteta wiki hii lazima atimuliwe but problem ni kuwa wamempa kazi kiundugu na hela zimepigwa kumfukuza wanaona aibu ,kocha bora mwenye tactics unayefundisha Big team never never on earth huwezi poteza mechi 3 mfululizo kamwe tena Emirates,tumemlaumu Laca mara Willian mara Auba mara Xhaka,huko mazoezini huwa anawafundisha nini ?it means mbinu zake zimefika mwisho na next game vs Spurs kwa mpira wa back pass I swear ushindi wetu utakuwa ni sare na tukumbuke Mourinho kafungwa mechi 1 pekee tangia aanze kufundisha mpira vs Arsenal
Arteta hatakiwi kumaliza wiki hii na kama atakuwepo Jumapili ntashangaa kuona shabiki wa Gunners amekaa kibanda umiza huku ana chupa yake ya bia anaangalia mpira huku anapiga kelele ya kuwa na matumaini
Suala la kusema Arteta apewe muda kwa sasa lifutwe Unai kafukuzwa akiwa nafasi ya 8 huyu mzee wa morari yupo nafasi ya 14 na ndio kaweka recoding mbaya mbaya anasubiri nini?
 
Back
Top Bottom