Liverpool naweza kupanga kikosi leo kwa mechi inayofuata na nikawa sahihi kwa asilimia 85, timu inajulikana na wanapangwa wachezaji wazuri. Arsenal timu haieleweki.Xhaka anajitoa kwa kipi ikiwa yy ndio chanzo cha errors zote ??
Ozil kacheza vzr dhid ya Watford katolewa , mech na Frankfurt kaachwa kwa kigezo anapumzishwa kwa ajir ya astonvilla
Mech na villa kapigwa mkeka ,
Unai hatufai
Hata Liverpool kufikia hapo , Walianza na kina Rodger ,king ken , Kisha wakapata Klopp , wakajenga timu
Sasa tutajengaje timu kwa KOCHA asiyeeleweka ?
Wachezaji wenyewe inasemekana Hawamuelewi,
Leo mara Willock, kesho Lt11 benchi mwaka wa pili huu kikosi chetu hakieleweki siku akipigiwa kelele anapanga kikosi kizuri. Haya majaribio sijui yataisha lini.
Hivi kwa kiwango cha Chambers na Frankfurt kuna aliyetegemea aanze benchi jana? Unampanga Maitland ambaye ni kiungo.
Ozil akose namba mbele ya Willock hivi ni vichekesho vinapatikana kwa Emery tu.