Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,988
- 22,379
Hata kama! Hatukawii Sisi kumporomoshea kocha mitusiKwan ni EPL hiyo,?
Hata kama! Hatukawii Sisi kumporomoshea kocha mitusiKwan ni EPL hiyo,?
Ulishaona kuna matusi kwa kocha humu?Hata kama! Hatukawii Sisi kumporomoshea kocha mitusi
Na msababishaji ni Xhaka au Luiz. Kama wakipangwa.HII MECHI KUNA PENARTY ...
Kevin Friend will be the referee for Manchester United vs Arsenal. The Video Assistant Referee will be Mike Dean. #MUFC
Unai hafai hata kufundisha evertonKlopp kocha bora FIFA huku sisi tuna UNAI hahahaha
HahahahahaUnai hafai hata kufundisha everton
kule TOBO FC ulishahama mkuu?maana wenzio kina Ollachuga Oc na Southern Highland wanahangaika kuliziba daraja linavuja baada ya rodrigo na TAA kulitoboa alafu wewe unakimbilia huku.......Emery piga kazi ,hakuna haja ya kusikiliza makelele, sisi tunakuunga mkono na team ipo vizuri.Asante