Hata msimu uliyopita formation ya wenga ilimbebaArsenal wakitaka Makombe waachane na UNAI, naungana na hoja ya ARON kwamba Unai mpaka sasa ameshindwa kujenga falsafa yake ndani ya timu na zaidi amefuta ile falsafa ya Arsenal ya kupiga pasi nyingi.
Upo sahihi ,mpira wa Wenger ulimsaidia sana, mwishon alipowaambukiza wachezaji tactic zake mbovu akakosa point 4 ktk mech 8 ili kwenda nafas ya 4,Hata msimu uliyopita formation ya wenga ilimbeba
Adui namba 1 ni UnaiMaadui wakubwa wa arsenal kwa sasa unai, xhaka na luiz wote watimke
KabisaAdui namba 1 ni Unai
Aise kwa mpira mzuri wenye matokeo mazurina suggest arteta awee kocha wetu.Upo sahihi ,mpira wa Wenger ulimsaidia sana, mwishon alipowaambukiza wachezaji tactic zake mbovu akakosa point 4 ktk mech 8 ili kwenda nafas ya 4,
Kila la kheri LiverpoolHahaha unamtoa Ramsey bure unasema ni garasa unamuacha xhaka na unaongeza mzigo mwingine luiz halafu una mpango wa Ku win trophies hahaha ..
Ramsey anatupia uko Juve ni balaa...wewe endelea kumuamini Pepe na Laccazete..
Kila la kheri Chelsea
Duh!Maadui wakubwa wa arsenal kwa sasa unai, xhaka na luiz wote watimke
Mwanangu unampenda bukayo saka kinoma.Leo nitakuwa na jioni nzuri.Saka starts