Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Lineup
IMG-20190922-WA0035.jpeg
 
Hapo ndio sikubaliani na wengi. I also want lt11 to start lakini sio kwa kum-drop Guendouzi. Kama wa kwenda bench aende xhaka
guendozi ana lacky energy( kudrive time kutoka nyuma kwenda mbele) ndo maana tunastruggle sana kucheza mpira katikati
na magoli yetu mengi yanatokea pembeni tu

dogo pia hawezi kucheza aggresive game pale inapohitajika
 
Katika wasen**** wa timu Guendouzi ni mmoja wapo hapati namba sio top 6 ila top 10 ya EPL
 
Arsenal ana yellow kadi 2 na Red 1
Aston Villa hana kadi hata moja
Aston Villa mpaka dk ya 20 ana On target 3 Arsenal hana hata moja
HT Arsenal 0-1Aston Villa tena Emirates Stadium
ARSENAL IMEKUWA TIMU YA KAWAIDA NA KAMA UNAI ATAENDELEA KUWA KOCHA TUANZE KUNUNUA DAWA ZA PRESHA
 
Siyo pressure tu mkiendelea na unai kuna kushuka daraja
 
Back
Top Bottom