Arsenal (The Gunners) | Special Thread

11th.....na badoooo
Screenshot_20190922-200456_All%20Goals.jpeg
 
Katika wasen**** wa timu Guendouzi ni mmoja wapo hapati namba sio top 6 ila top 10 ya EPL
Mkuu kwa hiyo kabla ya game ya leo Goundouz ulikuwa unamuweka kwenye top 6 ya EPL??? ARSENANE mna shida sana. Angalia game ya Chls vs Liver uone majembe, sio huo utoto wenu.
 
Back
Top Bottom