Kyatile
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 1,576
- 1,395
Humu watu washakukimbia. Kilochobaki ni kuja na id fake unapost alafu unalogin tena anareply. Hakijiwe kenu kashasambaratikaMbona unateseka kijana ?
Nadhan Leicester watanifungia huo mdomo
Humu watu washakukimbia. Kilochobaki ni kuja na id fake unapost alafu unalogin tena anareply. Hakijiwe kenu kashasambaratikaMbona unateseka kijana ?
Nadhan Leicester watanifungia huo mdomo
Naona unateseka sana ndugu pole sana ,Humu watu washakukimbia. Kilochobaki ni kuja na id fake unapost alafu unalogin tena anareply. Hakijiwe kenu kashasambaratika
Akicheza na Three at the Back itawaaccomodate wote kwa pamoja luiz,chambers na Papa ,nadhani ni option nzuri zaidi kwa uhakika wa kujilinda.Predicted starting 11 vs Burnley.
Don't think Emery will start Laca & Xhaka supposedly has a back issue. Need Luiz & Pepe to make their debuts before Liverpool & Spurs. Big ask of a Pepe in particular make his full debut at Anfield… #AFC #ARSBUR View attachment 1183065
Hii mechi itakuwa mida gani mkuu!Predicted starting 11 vs Burnley.
Don't think Emery will start Laca & Xhaka supposedly has a back issue. Need Luiz & Pepe to make their debuts before Liverpool & Spurs. Big ask of a Pepe in particular make his full debut at Anfield… #AFC #ARSBUR View attachment 1183065
14:30pm mkuuHii mechi itakuwa mida gani mkuu!
Furaha imemchanganya mpaka anachanganya madesaArsenal na lille ilichezwa lini?????
kachanganyikiwa huyu.View attachment 1183157
Sikubalian na hao watoto ila kwa emirates haina tatizo, na kama laca atakuwa hayupo fit na ozil ndio hivo nimeona mahali anaumwa , hivo naona namba zao zikishikwa na hao madogo na Emery anawaamin sanaAkicheza na Three at the Back itawaaccomodate wote kwa pamoja luiz,chambers na Papa ,nadhani ni option nzuri zaidi kwa uhakika wa kujilinda.
Matteo na willock kwa muda huu kuwa regular starter mimi naona bado mkuu, sijui wewe unaonaje?
Kocha anaweza kufelishwa na uchaguzi anaoufanya, maana kuna hawa madogo naona wanaenda kujihakikishia namba for nothing,
Nelson huyu ameshaiva ikiwezekana apewe namba ya kudumu.