Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,504
- 28,692
️ Aubameyang
️ Mane
️ Salah
It is a three-way tie for the Premier League Golden Boot
️ Mane
️ Salah
It is a three-way tie for the Premier League Golden Boot
haaaa haaaa, kikombe cha futuhi hakiepukiki29thMay njoo uongee hii pumba.
Endelea kujifariji na hiyo Chelsea yako.haaaa haaaa, kikombe cha futuhi hakiepukiki
Zinaingia tano kama unabisha subiri uione timu ya tano inayoingia UEFA.Sio kweli mkuu, timu ni 4 UCL
️ Aubameyang
️ Mane
️ Salah
It is a three-way tie for the Premier League Golden BootView attachment 1095361
sio wanaangalia na assistWamepewa wote
Auba
Salah
Mane
utatu mtakatifu️ Aubameyang
️ Mane
️ Salah
It is a three-way tie for the Premier League Golden BootView attachment 1095361
Soma hapo mkuu. https://www.bbc.com/sport/football/48218727Zinaingia tano kama unabisha subiri uione timu ya tano inayoingia UEFA.
Kasome pale ".........extra........." Wamefafanua vizuri ,mimi nakuambia nina uhakika EPL lazima ingize timu tano UEFA.Soma hapo mkuu. https://www.bbc.com/sport/football/48218727
Safi...Washindi wa kiatu cha dhahabu kutoka Arsenal kwenye EPL:
2001/02: Thierry Henry - Magoli 24
2003/04: Thierry Henry - Magoli 30
2004/05: Thierry Henry - Magoli 25
2005/06: Thierry Henry - Magoli 27
2011/12: Robin Van Persie - Magoli 30
2018/19: Pierre-Emerick Aubameyang - Magoli 22View attachment 1095415
Yap ,wanaboreshewa mikataba yaoWakuu nimeona habari ya kusecure mikataba ya forward wetu wawil (Auba na laca) , vipi bodi imesahanyooka nini??
May be bodi imeona umuhimu wa kutoa mishahara mikubwa kwa wachezaji muhimu baada ya kumpoteza Ramsey.