Arsenal (The Gunners) | Special Thread

️ Aubameyang
️ Mane
️ Salah

It is a three-way tie for the Premier League Golden Boot
Screenshot_2019-05-12-19-12-03.jpeg
 
Washindi wa kiatu cha dhahabu kutoka Arsenal kwenye EPL:

2001/02: Thierry Henry - Magoli 24
2003/04: Thierry Henry - Magoli 30
2004/05: Thierry Henry - Magoli 25
2005/06: Thierry Henry - Magoli 27
2011/12: Robin Van Persie - Magoli 30
2018/19: Pierre-Emerick Aubameyang - Magoli 22
arsenal_bongo-20190512-0002.jpeg
 
Usajiri WA wingers ni muhimu sana,

Auba amekosa magoli mengi sana msimu...huu, ilimlazimu mech nyingine atokee pembeni,
IMG-20190512-WA0022.jpeg
 
Washindi wa kiatu cha dhahabu kutoka Arsenal kwenye EPL:

2001/02: Thierry Henry - Magoli 24
2003/04: Thierry Henry - Magoli 30
2004/05: Thierry Henry - Magoli 25
2005/06: Thierry Henry - Magoli 27
2011/12: Robin Van Persie - Magoli 30
2018/19: Pierre-Emerick Aubameyang - Magoli 22View attachment 1095415
Safi...
 
Wakuu nimeona habari ya kusecure mikataba ya forward wetu wawil (Auba na laca) , vipi bodi imesahanyooka nini??
May be bodi imeona umuhimu wa kutoa mishahara mikubwa kwa wachezaji muhimu baada ya kumpoteza Ramsey.
 
Kipindi cha mwisho cha mzee Wenger naona alianza kuelewa umuhimu wa pesa kwenye soka la kisasa, maana alianza kutoa pesa ndefu kusajili (refer lacca) na mishahara mikubwa (Ozil na pia OX japo namba ndo ilimuondoa) ila walivoachiwa timu hawa kina sanllehi naona kama waliturudisha kwa wenger wa 2008-2010, zile paund mil 40 za usajili duuuh, zilinisikitisha sana.
 
Wakuu nimeona habari ya kusecure mikataba ya forward wetu wawil (Auba na laca) , vipi bodi imesahanyooka nini??
May be bodi imeona umuhimu wa kutoa mishahara mikubwa kwa wachezaji muhimu baada ya kumpoteza Ramsey.
Yap ,wanaboreshewa mikataba yao
 
Back
Top Bottom