Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wakuu nimeona habari ya kusecure mikataba ya forward wetu wawil (Auba na laca) , vipi bodi imesahanyooka nini??
May be bodi imeona umuhimu wa kutoa mishahara mikubwa kwa wachezaji muhimu baada ya kumpoteza Ramsey.
Kama ni kweli...basi ni jambo jema
 
Arsenal are set to secure the long-term future of their lethal strike force Alexandre Lacazette and Pierre-Emerick Aubameyang by offering them new long-term contracts this summer.
-
They are both likely to be offered around £250,000 a week each.
-
[DailyMail]
IMG-20190510-WA0007.jpeg
 
The End Of Uonevu wa Mike Dean,,Michael Olivier,,John Moss

Mwisho wa Arsenal Kuonewa....Sasa ndo Ligi itanoga....Wale wanaosemaga VAR inaharibu radha ya Mpira wanunue kabsa Ndimu ya Kuzimulia Radha....
IMG-20190513-WA0020.jpeg
 
Salah sio mwafrika. Ni mwarabu aliyezaliwa Africa..

Kwahiyo Willian sio Mbrazil bali ni Mwafrika aliyezaliwa Brazil?

Nadhani hata Vitabu vya dini hujawahi kusoma ukagundua Kuwa Wamisri/Waarabu walikuepo Afrika tokea Tanzania na Mataifa ya Watu Weusi bado hayajakuepo Afrika.
Wamisri ndiyo waliolianzisha Bara la Afrika, Wewe MWANYAMULENGE umedandia njiani tu.
Au unadhani FARAO alikuwa MZARAMO na si Muarabu wa Egypt?
 
In 2002, Arsène Wenger claimed his side could win the league without losing. He was mocked by fans & pundits alike. On this day 15 years ago, he made his dream a reality & turned up to the title celebrations with a shirt made by United fans mocking his comments. The audacity.

worldofarsenal_-20190515-0001.jpeg
 
Arsenal statement on EL Final:

"We are bitterly disappointed by the fact that due to transport limitations UEFA can only make a maximum of 6,000 tickets available to Arsenal for a stadium with a capacity of well over 60,000."
IMG-20190516-WA0009.jpeg
 
HII NDIYO MAANA HALISI YA KUFA KUFAANA.

Unaambiwa kufungiwa kwa Manchester City kutawapa faida Arsenal na Manchester United kucheza Uefa.

Arsenal yupo na fasi ya 5 na Man U yupo nafasi ya 6.

Arsenal watapata faida hata kama hawajashinda Europa kwa vile wapo nafasi ya 5 watasogezwa juu ili zitimie timu nne kama kawaida.

Ila Man U wao watategemea matokeo ya Arsenal washinde Europa Arsenal wakibeba kombe la Europa watakuwa wame fudhu kupitia Europa ndipo Man U watachukuliwa kuziba nafasi ya Man City ili zitimie timu 5.

Kama Arsenal wasipochukua kombe la Europa itakua faida kwa Arsenal tu na Man U itakula kwao.

Hapo nawaona siku hiyo wale mashabiki wote wa Man U waliopanga kuishangilia Chelsea wataamia kuishangilia Arsenal sasa...
 
Mkuu Manchester city wamefungiwa kusajili au kucheza UCL?, naomba ufafanuzi tafadhali.
 
Mkuu Manchester city wamefungiwa kusajili au kucheza UCL?, naomba ufafanuzi tafadhali.
Wanachunguzwa kwa kukiuka sheria za matumizi ya fedha, kesi yao ipo jikon Leo Sky sport wametoa taarifa, adhabu yake anafungiwa kucheza UCL, kwa msimu mmoja ,hivo nafasi yake itachukuliwa na arsenal au man u
 
Arsenal are preparing for the prospect of leaving midfielder Henrikh Mkhitaryan at home for the Europa League final in Baku on 29th May, with significant anger within the camp that one of their players feels effectively forced to miss the match over safety issues. [Guardian] #afc https://t.co/GNqf2Ssv5p
 
Back
Top Bottom