Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Unai Emery iondoe hii mizoga;
Mustafi, Iwobi, Lichtsteiner, Elneny, Mavropanos, Monreal, Jenkinson, Wekbeck, Denis Suarez.
Usajili umefunguliwa rasmi jana usiku. Wazee wa tetesi tumeanza na Walter Kanneman ambapo taarifa zinasema arsenal tumetuma rasmi ombi la kumsajili beki huyo wa kati wa kimataifa Argentina anayekipiga ktk klabu ya Gremio
Arsenal imekuwa ikimfuatilia Kannerman kwa muda mrefu sasa
Halaf ni left foot
Kanemman ni mzee wa viatu na Anakaba kwa nguvu ngoja tuone dili litaendaje
Hapa naziona taa nyekundu zikimuwakia Mustafi.
HV jamaa anakwama wapi mbn kwangu namuona ni beki aliyekamilika ukimchek kwa haraka???
Mfn ana nguvu,ana mbio,anajua kutembea na MTU na akamvuluga asifanikishe lengo n.k ambazo NADHANI ni sifa za beki no4 yeyote!
Nlikuw namwelewa Mustafi sana ila ameniangusha kwa kiwango cha lami.

Mwaka 2002 aliyekuwa kocha wa Arsenal, Arsene Wenger alinukuliwa akisema "Ipo siku tutachukua ubingwa bila kufungwa mechi yoyote" baada ya hapo alichekwa sana na kukejeliwa na mashabiki na wachambuzi mbalimbali.
Total tickets for each club: 6000
Arsenal tickets bought: 3000
Chelsea tickets bought: 600

