Arsenal (The Gunners) | Special Thread

ha
Breaking: Fernando Calero agree personal terms to join Arsenal
Arsenal boss Unai Emery has identified a Real Valladolid defender as a perfect addition to his defence, according to reports in Spain.

Fernando Calero, a classy defender at the heart of Valladolid’s defence, is available for just €11million £9.9million) next month thanks to a clause in his contract at the LaLiga club.

Calero has caught the eye this season with a number of impressive displays, with the Gunners, Sevilla and Borussia Dortmund all reported by Cadena Ser to be keen.

But it is Arsenal who reportedly lead the way for the 23-year-old, with Emery identifying the defender as a ready-made replacement for the crocked Rob Holding, who was last week ruled out for the rest of the season.

Arsenal also have doubts over the long-term fitness of Laurent Koscielny, who although nearing a return, is entering the latter stages of his career.

As such, Cadena Ser report that Calero would prove a perfect signing for Emery, with the 6ft star comfortable in either a back three or a flat back four.

Valladolid, 14th in the LaLiga table, are keen to tie Calero down to a new deal, but with an agreement yet to be reached, would be powerless to prevent the player moving on if Arsenal, or indeed any other suitor, activated his bargain €11m exit clause.
habari nzuri sana......mana sehemu ya ulinzi ni changamoto kubwa pale...........hakuna game iliyonikera kama ile ya manure yaani goli linadumu dk 1
 
GUENDOUZI WA ARSENAL ANANICHEFUA-BERBATOV

Mshambuliaji wa zamani wa Tottenham na Manchester United Dimitar Berbatov amesema kinda wa Arsenal Matteo Guendouzi anacheza vizuri mpaka inafika mahala anamkera kwa ubora wa kiwango chake.

Guendouzi mwenye miaka 19 amekua akicheza kwa kiwango kizuri tangu asajiliwe na Arsenal kwenye majira ya joto kwa ada ya paundi milion 7 tu (milioni 200 za kibongo). Akiongea na kituo cha SkySports Berbatov alisema

Uyu dogo ana miaka 19, lakini anavyocheza utadhani alizaliwa akicheza Uingereza, anacheza kama alikua hapa akicheza miaka mingi iliyopita.
Wakati mwingine natamani ningekuepo uwanjani ili nipambane nae kwa maana ananichefua kwa namna anavyojiamini uwanjani.

Anajiamini sana akiwa na mpira na yupo kila mahali uwanjani. Katikati utamkuta,pembeni,nyuma,mbele yupo kila mahali.
Unaweza ukawa na miaka 19 lakini ukawa na moyo na hulka kama ya mtu mwenye 24, haijalishi una umri gani linapokuja swala la kuonesha ubora kwenye mpira. Ndivyo alivyo Guendouzi.
Matteo Guendouzi ameichezea Arsenal mechi 13 katika mechi 16 za ligi kuu ya Uingereza. Kiwango chake bora kimewafanya wachezaji kama Mohamed Elneny na Aaron Ramsey kukaa benchi. Kama akipata malezi mazuri anaweza kua moja mmoja wa viungo bora ulaya kwa miaka inayokuja.

Kuna mshabiki mmoja wa Arsenal niko nae hapa. Sijui ni mlevi, anasema Matteo Guendouzi ni mzuri kuliko Michael Carrick.View attachment 963472

Unadhalilisha pound kiasi hicho? Pound milioni 7 ni sawa na Tzs 21 bilioni.
 
Wamemuiga ma**ko anaye cheza nje siku ya futui

Kuna kitu mnakikosea sana kwenye utani unaohusiana na michezo, huwa mnachukulia utani kama issue personal mpaka kufikia kuvuka line.

Unapotaniwa neno Futuhi, then ukaja na abuse inayomlenga family member ni line crossing, kuna unwritten rule kwamba trash talking should not go to family members.

Sina uhakika na umri wako lakini jaribu kutafuta kwa nini Zidane alimpiga kichwa Materazi kwenye WC Final 2006 utajua nini maana ya trashtalk limit.

AROON big up, recently umekuwa sportsman, you argue with points, hata utani siyo wa kufedheheshana.
 
Kuna kitu mnakikosea sana kwenye utani unaohusiana na michezo, huwa mnachukulia utani kama issue personal mpaka kufikia kuvuka line.

Unapotaniwa neno Futuhi, then ukaja na abuse inayomlenga family member ni line crossing, kuna unwritten rule kwamba trash talking should not go to family members.

Sina uhakika na umri wako lakini jaribu kutafuta kwa nini Zidane alimpiga kichwa Materazi kwenye WC Final 2006 utajua nini maana ya trashtalk limit.

AROON big up, recently umekuwa sportsman, you argue with points, hata utani siyo wa kufedheheshana.
uvumilivu muhimu sana katika michezo......na hata ukiangalia kwa makini zaidi somo la haiba na michezo linafundishwa katika shule za msingi ili kumjengea mwanafunzi/mtoto stadi mbalimbali zitakazomsaidia kuwa imara katika maeneo mbalimbali katika ukuaji wake kama vile kuimarisha viungo vya mwili,kumjenga katika uwezo wake wa kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi na mahali sahihi,kuwa mvumilivu na mengineyo mengi ambayo mtoto/mwanafunzi akijengewa kwa usahihi basi atakuwa vizuri katika nyanja zote za ukuaji wake yaani kimwili,kiakili,kijamii na kiroho na hatimaye kuwa raia mwema katika jamii yake.


NAAMINI UKIDIGEST VIZURI NILICHOANDIKA UTAELEWA NI NINI NAMAANISHA.
 
Kuna kitu mnakikosea sana kwenye utani unaohusiana na michezo, huwa mnachukulia utani kama issue personal mpaka kufikia kuvuka line.

Unapotaniwa neno Futuhi, then ukaja na abuse inayomlenga family member ni line crossing, kuna unwritten rule kwamba trash talking should not go to family members.

Sina uhakika na umri wako lakini jaribu kutafuta kwa nini Zidane alimpiga kichwa Materazi kwenye WC Final 2006 utajua nini maana ya trashtalk limit.

AROON big up, recently umekuwa sportsman, you argue with points, hata utani siyo wa kufedheheshana.

Thrash
 
Emery was asked if Ozil playing Fortnite was causing his back problems:

"I don’t know, tomorrow he is in the group, the 18 players for this match."

“We are going to decide if he will play tomorrow from the beginning or during the 90 minutes.”
 
Ahead of Thursday night's Europa League clash against Qarabag, here's the latest team news update from our medical team:

Aaron Ramsey
Fit and has returned to full training following ankle injury.

Mesut Ozil
Fit and has returned to full training following back injury.

Rob Holding
Left knee – anterior cruciate ligament injury. Surgical repair will take place later this week.

Shkodran Mustafi
Hamstring. Being assessed ahead of Qarabag (h) on Thursday, December 13.

Dinos Mavropanos
Groin injury. Expected to return to full training in December.

Danny Welbeck
Right ankle. Recovering after surgery.

IMG-20181212-WA0014.jpeg
 
Arsenal wana mpango wa kumsajijili beki wa kati mwezi Januari huku wakitafakari uwezekano wa kuwasajili kiungo wa Manchester United na nyota wa kimataifa wa Ivory Coast Eric Bailly, 24, nyota wa zamani wa kimataifa wa England Gary Cahill, 32, wa Chelsea na mlinzi wa Real Valladolid Fernando Calero, 23. (Mirror)

BBC SWAHILI
 
Kwenye interview yake juzi alisema klabu za pale pale Italy ndo zilikuwa zinatuma offer lakn summer ilipofika Arsenal walipotuma representative wao tu basi hapohapo kitu kikamjia kichwani kwamba muda wake wa kucheza italy umekwisha...ndipo alipoongea na Suarez nae suarez akamwambia klabu ya arsenal ndio itakufikisha unapotaka kufika...
IMG-20181208-WA0018.jpeg
 
Nilikua nna nzi wangu flani ni muajiliwa wa arsenal sema aliacha baadae alikua ananipa taarifa muhimu snaa
Kwenye interview yake juzi alisema klabu za pale pale Italy ndo zilikuwa zinatuma offer lakn summer ilipofika Arsenal walipotuma representative wao tu basi hapohapo kitu kikamjia kichwani kwamba muda wake wa kucheza italy umekwisha...ndipo alipoongea na Suarez nae suarez akamwambia klabu ya arsenal ndio itakufikisha unapotaka kufika...View attachment 967118
 
Nilikuwaga natamani sana kuona Kosc6 na Papa wakianza pamoja,,,,hope ntaenjoy combination ya bek zinazojua nn maana ya kazi
IMG-20181213-WA0012.jpeg
 
Back
Top Bottom