Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,552
Napenda kumsalimia Wacha1
Torreira he.......too=grammatically noun and pronoun can't be used at one time and too can't be put at lastly so you are wrong.Haikupaswa kusomeka "Torreira is not only good in the tackling but scoring too"
Bali torreira he is not only good in tackling but also in scoring too
Ajifunze uongo hakuna cha maana cha kujifunza hapo yupo wrong grammatically.Hivyo mkuu @rubanman![]()
@pachanja jifunze apo![]()
![]()
Yupo huyu jamaa? MkuuNapenda kumsalimia Wacha1
As we expected..Hongereni wakuu ..sisi uku man city tunamchakaza leo.
Lucas Torreira form for Arsenal:
vs Liverpool
MOTM
vs Bournemouth
MOTM
vs Tottenham
️ Goal
MOTM
vs Man United
Assist
MOTM
vs Huddersfield
️ Goal
MOTM
Signing of the season.
Huoni kama ni upuuzi kushangilia ligi ambayo wengine wanacheza kila baada ya siku tatu na wengine wanakaa wiki mbili bila kucheza?! Nani mtumwa hapo?Hahahaha nililiendeleza kimakusudi. Mnang'ang'ania kusahihishana ktk lugha za wenzenu wakati kiswahili chenu kila siku mnakosea na hamsahihishani. Ukoloni(utumwa) mamboleo. Mfano kupenda na kushadadikia mpira wa England ni mojawapo ya huu utumwa. Waafrika tunatumia muda mwingi ktk soka la ulaya kuliko soka la nchi zetu.
Kuna tabia isiyo nzuri ambayo ozil anaionesha kwa kocha hasa akipigwa sub hivyo kocha keshamsoma long.Naomba kuuliza hili swali kwa mashabiki kindaki ndaki wa Ozil jee akiondoka Leo hii kuna pengo mnaliona ataliacha???Jee mnahisi Ozil yupo kwny mipango ya Emery???nikimaanisha jee ni mchezaji muhim kwa Emery kama ilivyokuw kwa Wenger?
Naomba kuuliza hili swali kwa mashabiki kindaki ndaki wa Ozil jee akiondoka Leo hii kuna pengo mnaliona ataliacha???Jee mnahisi Ozil yupo kwny mipango ya Emery???nikimaanisha jee ni mchezaji muhim kwa Emery kama ilivyokuw kwa Wenger?
Upo sahihiYeah kuhusu Pengo Lipo atakaloliacha...Mtu mwenye assists za kutosha kama yeye Lazima kuna Pengo ataliacha..
But kwa sasa Ozil ni Liability kwetu..Haendani na mfumo wa Unai anaotaka..so as long as tunapata matokeo bila yeye haina shida Aondoke January...
Mshahara anaopokea na namna anavyofanya aende tu.
HapanaNaomba kuuliza hili swali kwa mashabiki kindaki ndaki wa Ozil jee akiondoka Leo hii kuna pengo mnaliona ataliacha???Jee mnahisi Ozil yupo kwny mipango ya Emery???nikimaanisha jee ni mchezaji muhim kwa Emery kama ilivyokuw kwa Wenger?
Ahaaa ahaaa urembo wa Ozil upo wapi mkuu?Hapana
Aondoke tuu
Tunataka mafund vichwa ngumu tuu
Ozil fundi sema mrembo.
Ahaaa ahaaa urembo wa Ozil upo wapi mkuu?
Sema makocha wapya mara nyingi wakichukua timu hali kama hii hujitokeza, lazima kuna wachezaji wakubwa watashindwa kuendana nae..
Akina Yaya Toure,Zabaleta walishindwana na Pep...
Fabregas anacheza Carabao cup sasa hivi wakati wa Conte Alikua first eleven.
Waondoke tu wengi zaidi Emery alete wapya wanaoendana na Anachokitaka.
Tetesi-Mesut Özil kuuzwa kwa paundi milioni 25 tu
Mitandao mingi ya habari, ukiwamo wa Daily Mail imeandika ya kwamba Arsenal ipo tayari kumuuza kwa hasara kiungo huyo kwani wanaona ya kwamba mshahara anaopata kwa paundi 350,000 kwa wiki ni mkubwa mno kulinganisha na mchango wake kwenye timu na wanaona wanaweza kupata mbadala wake kwa nusu ya mshahara huo.
Ikumbukwe ya kwamba Mesut Özil hajaichezea Arsenal katika michezo mitano iliyopita kwa madai ya kwamba alikuwa na maumivu ya mgongo.
Taarifa hizo zinaendelea kudai ya kwamba Inter Milan ipo tayari kutoa dau hilo ili kumpata kiungo huyo na kwamba maongezi kati wa wakala wa Özil na timu hiyo yataanza wiki ijayo.
Mtazamo wangu
Kwa upande mmoja vigumu kuamini tetesi hizo kwani hawajasema ni wapi wamezitoa habari hizo, lakini kwa upande mwingine naona mwisho wa Mesut Özil ndani ya Arsenal unakaribia kwani amekuwa akikosa mechi nyingi kuanzia mwishoni mwa msimu uliopita na siamini kama uongozi mpya wa Arsenal utaweza kumvumilia.
Pia naamini ya kwamba litakuwa kosa kubwa sana kumuuza Mesut Özil bila ya kusajili mchezaji atakayeziba pengo lake kwani kwa sasa hakuna kiungo mshambuliaji wa kuaminika na mwenye uwezo wa kutengeneza nafasi kama yeye ndani ya kikosi hiki cha Arsenal.
Mfano mzuri ni katika mchezo wa jana ambapo mwalimu Unai Emery alilazimika kuwaanzisha viungo wakabaji watatu, pia Iwobi na Mkhi leo wanacheza vizuri kesho wanacheza chini ya kiwango, sio wa kuwaamini sana.View attachment 961456