Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Kuna kucheza mpira nakujua mpira Huyu SAKA Anajua sana mpira anaupiga mwingi mnoooo anachekecha anapenya dah...
Fundi sana huyu cheusi mangala wasi wasi wangu Wachezaji wanaojua mpira wanapata shida sana kubaki na utaalamu wao pale tu wanapofikia umri wao wakufanya mambo Mfano zelalem,merida,hakim mastore